TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Heee nini jamani
View attachment 1434416

Kwa mujibu wa mbunge Godbles Lema na Waziri Kigwangalla ni kuwa mbunge wa Sumve Richard Ndassa amefariki dunia mapema leo.

Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka ghafla ndani ya viwanja vya bunge leo.

Inadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi kumepatikana vifaa vya kujifukiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amefia Hotelini then ameanguka kwenye viwanja vya Bunge? Hao ndio wachangiaji wa JF buana ie Great Tinkers.
 
Duh, kamuacha lissu aliyetwangwa risasi Na kufukuzwa ubunge.Mungu amweke panapostahili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom