TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Nina mashaka mkubwa mmoja akifariki kunakuwa na raia unknown hata watano wanafariki na hawatangazwi popote na wanazikwa kimya kimya usiku..
Lord have mercy!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mashaka mkubwa mmoja akifariki kunakuwa na raia unknown hata watano wanafariki na hawatangazwi popote na wanazikwa kimya kimya usiku..
Kwani kujifukiza ni kosa? Dada hujawahi kwenda Sauna? Au kwa kuwa kujifukiza kupitia Sauna ni vya Kizungu? Slavery Mentality will never end!!Mbunge kabisa unajifukizia. Huu ni wehu sana
View attachment 1434416
Kwa mujibu wa mbunge Godbles Lema na Waziri Kigwangalla ni kuwa mbunge wa Sumve Richard Ndassa amefariki dunia mapema leo.
Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka ghafla ndani ya viwanja vya bunge leo.
Inadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi kumepatikana vifaa vya kujifukiza.
Yaani umesha confirm hiyo ni corona?Nina mashaka mkubwa mmoja akifariki kunakuwa na raia unknown hata watano wanafariki na hawatangazwi popote na wanazikwa kimya kimya usiku..
Lord have mercy!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugonjwa upi?
Unaambiwa alikutwa na vifaa vya kujifukiza, siku hizi wenye malaria wanajifukiza pia?Yaani umesha confirm hiyo ni corona?
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Okay Mkuu,asante kwa mwongozoWilaya ni kwimba
Hakika huu ni unyakuo wa wana ccm,
Polisi waingilie kati
Kujifukiza inatumika siku nyingi tu hata ukiwa na malaria unajifukiza kwa kuchanganya na mwarobaini. Hata SAUNA watu wanaenda kujifukiza pia naona wewe umejua juzi kujifukiza.Unaambiwa alikutwa na vifaa vya kujifukiza, siku hizi wenye malaria wanajifukiza pia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu acheni aitwe babaDuh, kamuacha lissu aliyetwangwa risasi Na kufukuzwa ubunge.Mungu amweke panapostahili