Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Katani Katani ajiuzulu na kujiunga CCM

Naona kibanda kinazidi kujaa wahamiaji haramu.Wenyeji kimya hadi siku watalipuka.
 
Tusubiri kura za maoni zitakapokuja wasije wakaanza kulia faulo .... Wale wa mwanzo walipitishwa kwa maelekezo toka juu. August hiyo kitu haiwezekani ....!!
 
Kila mmoja anakimbilia huko tu, sioni wanakwenda ACT Wazalendo..!
 
Hongera kwa kujitambua
Kama umeshindwa pambana nao
Ungana nao
Bado Tanzania haina Upinzani wa kweli
Wote Mamluki na Wachumia Tumbo
Ccm ipo leo kesho na kesho kutwa
Kizazi kijacho ndio kitaiondoa Ccm
Sio hawa wana Saccos
 
Tayari hilo jimbo lina mgombea wa CCM. Biashara imeisha hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…