Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Katani Katani ajiuzulu na kujiunga CCM

Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Katani Katani ajiuzulu na kujiunga CCM

Huku7u sio ndio alikodhama juzi kwenye topeee. Mbunge gani hawedhi hata kushawishi ujenzi wa Barbara

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Majimbo yote yaliyokuwa mikononi mwa wapinzani na wabunge/ madiwani hao wakahamia CCM..basi majimbo hayo hatatakuwa na kura za maoni...wabunge hao na madiwani wote watapata bila kupingwa ndani ya chama.

Hii si amri bali ni utaratibu wetu.

Kidumu.......
 
Hapa mbunge kaona mwaka huu usipokuwa CCM hupiti.kasahau waliomchagua hawakuipenda CCM. Hili ndio tatizo kubwa awamu ya 5
 
Amehisi konde boi anamnyang'anya tonge!! Hapo ndio ujue hawa wabunge wanajali njaa zao hamna cha itikadi wala kupigania wananchi!! Sasa CCM wawafyekelee mbali kwenye mapendekezo ya mgombea ndani ya chama tuone yatavyotapatapa.

Huyu bwege 2018 ilisemekana kahama akasema kadhalilishwa sasa Leo kaamua kajidhalilisha mwenyewe
 
Haisaidii kitu Jiwe kaishaingia kwenye kumi na nane za mabeberu atapitia wapi mwaka huu.
 
Hii yote inatokana na wapinzani kuokoteza wagombea. Nilishasema hili, si kwa nia mbaya bali kuambizana ukweli. Mbowe chama chake kina wanachama waliopambana kwa miaka mingi tena vijana wadogo wenye nguvu, lakini anajiunga kigogo kutoka CCM, Mara, anatangazwa mjumbe waa kamati kuu CHADEMA. Hapo mimi mnyakyusa wa Tukuyu ndo nabaki hoi. CCM oyee.
 
Mamaye zao hawa tutakutana nao kwenye Sanduku la Kura.
Wasaliti wa Mabadiliko.
 
And this how Tanzanian politics sounds.
 
Back
Top Bottom