KITAULO
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,926
- 2,797
Mbunge wa Tandahimba (CUF), Katani Katani amejiuzulu Ubunge wake na kujiunga CCM ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally aliyepo ziarani Mkoani Mtwara
Bashiru amewasili Mtwara leo kwa ziara ya siku 3 huku akitarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya za Mtwara Vijijini, Masasi pamoja na shughuli nyingine za Chama
View attachment 1365143
Wahamie wote huko...na hivi vyama vya upinzani vife kabisa...tuanze kugombana huko huko....si unajua tena ugomvi wa wanafamilia huwa hauishi..