Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Katani Katani ajiuzulu na kujiunga CCM


Wahamie wote huko...na hivi vyama vya upinzani vife kabisa...tuanze kugombana huko huko....si unajua tena ugomvi wa wanafamilia huwa hauishi..
 
Wameona uchagizi unakaribia wanahama..wanafiki wote hao...kwani hawezi kumuunga mkono preze wakiwa kwenye vyama vyao
 
Sory mkuu hapo kwenye picha ndie yupi
 
Wameona uchagizi unakaribia wanahama..wanafiki wote hao...kwani hawezi kumuunga mkono preze wakiwa kwenye vyama vyao
Hakuna mswahili aungae bure yaani aulambe mkono mtupu.Mbona Zanzibar hayapo hayo
 
Hizo kwa sasa siyo habari tena
In God we Trust
 
Mtu mwenyewe hata sufuria huna unazungumzia habari ya kupanda kwa bei ya gesi nyambafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm wanazidi kutudidimiza kimaisha
In God we Trust
 
Sheria ya uchaguzi mdogo inasemaje, kwa muda ulobaki kwa uchaguzi mkuu;swali ni kama kuna uchaguzi mdogo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…