Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Napenda kurudia tena na tena Nukuu ya Ronald Reagan ;

"Taaluma kongwe duniani ni ukahaba na ya pili ni Siasa japo haitofautiani sana na taaluma namba moja".

Mwisho wa kunukuu .
 
Another cheap merchandise up for sale. Waitara has demonstrated once again how a politician without real political instinct can behave.

The manner in which these defections occur leaves much to be questioned on the sincerity and commitment of these defecting MPs to their electorate.

It's likely that once again the people's money is involved in luring the cash-hungry legislator to secure the said defection much to the dismay of the people of this country.

Much as the ccm party will continue to mastermind these defections, the disillusioned people of this country will continue to back the opposition no matter what.

The defection sagas are orchestrated so as to distract the disenchanted people from not contemplating on the predicament that this government has subjected them to. But again the scheme is doomed to fail miserably.
 
Huu ni uzwazwa wa kiwango cha pHD, yaani full kujivuruga.
 
dah..another cash to be spent on a senseless by-election!!!
tunaomba asiuliwe akwilina mwingine wakati wa uchaguzi...si angevumilia tu hiyo miaka miwili
Avumilie kwa vipi wakati hoja za msingi hazijibiwi...hivi ungekuwa wewe ungefurahi hata kukatazwa usiende kwenye miradi uliyoipigania kisa eti inazinduliwa na mwenge eti wa ccm..upumbaf mtupu. Na waendelee kuachana na hao vibaraka wa wazungu. Wala ruzuku....ubahili hata ofisi wanaona ubahili kujenga....chama gani hiki..halaf eti kinataka kwenda ikulu...hahahahahha shwainnn
 
  • Thanks
Reactions: UCD
chadema inakufa kifo kibaya sana. Soon mtasikia yule wa Arumeru na diwani wa Dar. Maana kiukweli alichosema Waitara ndio changamoto wanazokutana nazo hawa wengine. Wanapambana kuleta maendeleo na wanaikaba serikali ila wanaambiwa wasishirikiane na serikali.
 
ana akili kajiongeza vyema
WhatsApp Image 2018-07-28 at 07.50.03.jpeg
 
Ruzuku itaharibu na kuwagombanisha CHADEMA sanaa sanaaaa.. Sbb inaliwa hata nyingine haijulikani inaenda wapi..!!
 
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Mwikwabe Waitara, atangaza kuniuzulu CHADEMA na kuhamia CCM. Kajiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama

> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za ruzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa

> Mwenge wa Uhuru umekuja kuzindua miradi ya maendeleo niliyoipigania lakini naambiwa usiende pale na mimi shida yangu haikuwa CCM pale ilikuwa ni mradi niliopigania

"Leo nimejiondoa rasmi CHADEMA kwahiyo mimi sio Mbunge tena, nimetupa jongoo na mti wake" amesema Mwita Waitara

“Mimi nataka niende mahali ambako kuna kazi za kufanya,” Waitara amewaambia waandishi na kuongeza kwamba anatamani kuwa Waziri Kamili.


Habari zaidi....

Mbunge wa Ukonga (Chadema), Mwita Waitara amejiuzulu uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM leo Jumamosi Julai 28, 2018.

Waitara ametangaza uamuzi wake huo leo katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ofisi ndogo za CCM Lumumba mjini hapa, akiwa sambamba na katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole.

Kwa uamuzi huo wa Waitara ambaye alikuwa CCM kabla ya kujiunga Chadema, jimbo la Ukonga linabaki wazi.

Waitara amekuwa mbunge wa pili wa Chadema na wa tatu wa upinzani kuhama chama na kujiunga na CCM.

Wengine wa Dk Godwin Mollel (Siha) na Maulid Mtulia (Kinondoni).

ALICHOANDIKA Zitto:

View attachment 821107
Zitto inamuuma sana karata zake amecheza vibaya, ameshapotea.
 
Avumilie kwa vipi wakati hoja za msingi hazijibiwi...hivi ungekuwa wewe ungefurahi hata kukatazwa usiende kwenye miradi uliyoipigania kisa eti inazinduliwa na mwenge eti wa ccm..upumbaf mtupu. Na waendelee kuachana na hao vibaraka wa wazungu. Wala ruzuku....ubahili hata ofisi wanaona ubahili kujenga....chama gani hiki..halaf eti kinataka kwenda ikulu...hahahahahha shwainnn

..kwa maoni yangu hoja ya Waitara ambayo ina mashiko ni suala la matumizi ya RUZUKU.

..lakini pia sidhani kama huko CCM anakokwenda atapata nafasi ya kuhoji jinsi wanavyotumia fedha za RUZUKU.

..hoja ya kuzuiliwa kushiriki shughuli ya mwenge naamini haina mashiko. mbunge ana muda mrefu tu wa kushiriki shughuli nyingine na maendeleo ktk jimbo lake na mchango wake ukatambuliwa na wananchi.

ukizingatia mwenge unakaa muda gani jimboni, na mbunge yuko muda gani jimboni, utaona kwamba malalamiko ya Mh.Waitara hayana uzito.

NB:

..nakumbuka BUNGENI alihoji zilipokwenda trilioni 1.5 na hakupewa majibu yaliyojitosheleza.

..sasa leo anasema ametatizwa na walioshindwa kumueleza matumizi ya 230 bilioni, halafu anakwenda kujiunga na wasio na maelezo zilipo 1.5 trilion.

cc MTAZAMO
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Msingi wa utabiri wangu ni jambo moja .
Kwa kutokujuwa mbinu inayotumiwa na adui kamwe vita hiyo huwezi kushinda labda usubiri muujiza.Haiwezekani kusema ni kuhongwa tu tukaishia hapo,dalili zinaonesha kuna jambo kubwa zaidi ya kuhongwa.
 
Hivi role ya upinzani Bungeni ni ipi sasa??Kama hali yenyewe ndio hivi tutakuwa na bajeti mbadala ya upinzani 2020??Hivi katika watanzania 55 milioni wote tunafikiri sawa??
 
CHADEMA kuna zimwi linawala taratibu hawataki kulitoa, litawafikisha pabaya sana wasipoangalia hadi huyu jembe ametoka basi kuna tatizo kubwa sana.
Chadema hakuna zimwi wala shetani , dola ina nguvu kama hamkumpata wa kuiheshimu mmekwisha. Nawapa pole chadema watapata tabu sana ( kwa sauti ya mwenyekiti)..
 
Hivi role ya upinzani Bungeni ni ipi sasa??Kama hali yenyewe ndio hivi tutakuwa na bajeti mbadala ya upinzani 2020??Hivi katika watanzania 55 milioni wote tunafikiri sawa??
Kuna mtu anadhani yeye ana akili kuliko watu wote waliopo Tanzania na hicho ni kilema tumuombee.
 
Back
Top Bottom