Webb
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 425
- 884
Huyu alitaka kuuza ushindi toka ile siku ya kutangaza matokeo,sema wakurya waukonga walishtukia mchezo na kumuhaidi watamkata mapanga.Jerry Slaa alimpa pesa ndefu jamaa akalainika.
All in all tusishangilie kufa kwa upinzani coz upinzani imara uifanya na serikali kuwa imara
All in all tusishangilie kufa kwa upinzani coz upinzani imara uifanya na serikali kuwa imara