Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Anatufanya sisi misukule ya LumumbaKahoji bungeni 1.5bn hakupata jibu na hakukimbia.Kahoji 280m kakosa jibu kakimbia.Twende kazi,kumekucha!!!!!!
Anatufanya sisi misukule ya LumumbaKahoji bungeni 1.5bn hakupata jibu na hakukimbia.Kahoji 280m kakosa jibu kakimbia.Twende kazi,kumekucha!!!!!!
Mara zote huwa tunasema hapa kuwa kuna matumizi Mabaya ya ruzuku hapo Chadema mnapinga; ngoja muendelee kuaibishwa. Hilo limewatoa na litaendelea kuwatoa wengi.Mbona sisiemu ndo balaa, anaruka mkojo kukanyaga mavi?
Kama ni kweli basi chadema wanapata taabu sana![/QU
Ukiona manyoya ujue KALIWA
Inamaana sababu zote zile alizotaja,ni ya ruzuku tu ndio hoja kwako?Wabunge wa upinzani wakati mwingine ni vituko vitupu,wakiambiwa wananunuliwa wanajiona wanaonea kuambiwa hivyo,kama kwenye vyama vya upinzani hakuna demokrasia unaendaje CCM ambako wabunge 17 pamoja na waziri mkuu wao wanatishiwa kuvuliwa ubunge na kuambiwa kuwa ni heri CCM wapoteze majimbo hayo kuliko kuwa na wabunge hao 17 wa mikoa ya Lindi na Mtwara kwa kuwa wamehoji masuala ya korosho?.
Unaendaje CCM kwa kisingizio cha kuhoji matumizi ya ruzuku ya chama na kuona kuwa CCM ndio kuna demokrasia wakati wenzako CCM unakokwenda hukohuko wanatishiwa kufukuzwa kwa kosa hilohilo la kuhoji?.
Wanaojielewa wote wanakuja CCM wale ambao hata kuandika Zinjanthropus hawajui ndio watabaki wakiburuzwa na mwenyekiti wa maisha.mtukufu sana Freeman aikaeli Mbowe Mangi mtetezi wa Wachaga
Mkuu naona una kifafa cha mimba changa!! Hahahaha!!Hali ya siasa za vyama vingi nchini ni mbaya mno kwa sasa. Kwa kuwa upinzani umegeuzwa uadui na hivyo kuvaana vema na ule usemi wa adui yako muombee njaa lazima aje agonge hodi kwako kuomba chakula na bakuli mkononi[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Haijalishi kama ukimjazia bakuli akimaliza kula na kushiba ataomba urafiki au ataendelea na uadui lakini tayari ameshapata fedheha ya kuja kugonga mlango na bakuli lake tupu mkononi. Tayari ana shombo, tayari siyo shupavu, tayari sio ngangari wala mvumilivu . Tena wala hajui anapigania nini zaidi ya chakula tumbo lake lishibe mengine yote anasahau . Shibe mwanamalevya[emoji57][emoji57][emoji57]
CUF - hawa wanakutana zaidi mahakamani kwenye kesi zao kuliko kukutana kupanga mambo yao - Hawa wana njaa na kifafa
ACT - wana mbunge mmoja ila kila kunapokucha wanachama wanapururuka manyoya- hawa wana njaa na kiharusi
NCCR - wana mbunge mmoja wanachama wao hawasikiki sijui hata kama wapo - hawa wana njaa pia ukame na wana ukoma
CHADEMA - wako wengi ila kuna unafiki mwingi watu wenye moyo na chama nadhani ni wachache nao ni wanufaika ila waliowengi ni bora liende - hawa wana njaa na kisukari
CCM - wanatumia nguvu zote za dola na za nje ya dola yaani nguvu binafsi kulazimisha kila kitu kiende sawa na wanavyotaka na kuonekana wazuri mbele ya wananchi - hawana wana chakula pia wana HIV na kwa sasa wanatumia ARV ndio maana wanaonyesha wamenona nje ndani kumeoza
Vyama vilivyobaki ambavyo sijavitaja wao wana Ebola, Dengue, na Kipindupindu. Kaburini ndio direction yao.
tuombe kwa Mungu ili tuishi miaka mingi sana tuje tuone mengi zaidi [emoji1487]
Amka my brother, kuna tatizo.Kujiulu huku ndiko kuimarila kwa CHADEMA.Wananchi wanajua huu ni mchezo mchafu unaendelea.
Dall ya kunya ni nini mkuuNaona dalili za mwisho wa CHADEMA