JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Mbona sisiemu ndo balaa, anaruka mkojo kukanyaga mavi?Chadema imejaa ubinafsi na ubadhirifu. waitara anaweka wazi namna ruzuku inavyotumika vibaya huko.
Mbona sisiemu ndo balaa, anaruka mkojo kukanyaga mavi?Chadema imejaa ubinafsi na ubadhirifu. waitara anaweka wazi namna ruzuku inavyotumika vibaya huko.
Kinana ametoka CCM lini?Naamini hichi ndicho kilichomtoa Kinana CCM. Mtu anashawishiwa kuhamia CCM eti anahakikishiwa pia uteuzi wa mwaka 2020! Eti wanasainiana kabisa kuwa mkataba unaisha mwaka 2025.
Siasa ya wizi wizi huku tukisema tunayakataa majizi. Haya nenda kamhoji Magufuli kuhusu ruzuku ya CCM.
Sasa huyu unadhani hiyo 2020 CCM watampitisha?atarudishwa tu kumalizia muda wake.Kwa mtu anayeona mbali na anayetaman kuendekea na uongozi wa kisiasa 2020 hawezi kuenselea kubaki chadema
Hatar sanawatu wa dizain wanaweza hata kujibadili jins..hasa anapoona upande ule kumenoga zaid
Na hali karudi KWAOWatakuja hapa kusema kanunuliwa
Kwa waitara?Naona dalili za mwisho wa CHADEMA
Hiyo siyo dalili nzuri kwa chadema 2020.Write your reply...ipo live sasa waitara akitangaza kuondoka Chadema na kujiunga CCM.
hahahahaawatu wa dizain wanaweza hata kujibadili jins..hasa anapoona upande ule kumenoga zaid
NdiyoHivi kweli amesema hivyo?!!!