Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

WANA AZA BOY MPOOOOOO?

Miaka mingi sanaa nimemisi sanaa ukauzu tuliokuwa nao vijana makauzu tuliosoma Azaboy nasikitikaninapo ona mwanaazaboy anakuwa mtu hasiye na msimamo pole pole na waitara!

Hawa watu wanatuaibisha masela.
 
Azam boy ya kipind icho tifu tifua tuuuu

Ngum bangi kira aina ya fujoh ni aza boy

Respect
 
Mkuu ukiwa ccm akili unaziweka nje ya jengo pale lumumba....ukitoka ndio unazipitia..

Kwahio usimshangae
 
Next time ili kuokoa fedha za umma kwa chaguzi zisizokwisha, ukichaguliwa na chama, kama unatoka basi uagwe kwa matarumbeta tu...kurudia uchaguzi bila sababu za msingi kunaiumiza nchi. Tutawezaje kununua ndege zaidi na kumaliza SGR kama siasa zinabeba hela zote?
 
Mwita simshangai hata kidogo. Ni mtu hovyo sana kupata kutokea kwenye siasa.
Yangu alipokuwa president wa daruso. No wonder akagombea tena huo ubunge kwa tiket ya Ccm na akaupata
 
CDM POLENI NA MBADILIKE NJOONI CHAMA KUBWA TUPIGE KAZI NA SI POLOJO..
Wote wakienda Ccm nini maana ya vyama vingi?

Kimsingi Nyerere akifufuka Leo, atawapiga watu makofi ya uso. Jinsi alivyo jitahd kuasisi vyama vingi na akatuelewesha nini maana ya demokrasia Leo hii tumekuwa mazuzu.

Walioko upinzan nao wenyewe ni miongoni mwa wavunja upinzan. Chama tawala chenyewe ndio kabisaaa kinataman turudi enzi za tanu. Shame on us
 
Hiiserikali naiangalia tu afu nasema hiiiii
 
 
Mtoto akiwa kwenye mgongo was Mama take hajui umbali was safari..
Hawajui in upinzani...
 

Hivi vyama vya siasa Tanzania hakuna mambo ya itikadi kabisa yaani kwa sasa vimebaki kuwa "vehicles" za kupata nafasi ya kugombea uongozi kwa kuwa hatuna wagombea binafsi?

Kwa sababu kama kuna hata chembe ya "itikadi ya chama" na una wanachama wanawamini kwenye hilo pengine ni changamoto sana mtu kuama tu kwenye chama kingine hasa CCM kwa sababu ya tofauti ya itikadi, pengine ingewezekana kutoka CHADEMA kwenda kwenye vyama tofauti.

Kwa mtazamo wangu hili ni suala la uroho wa madarasa zaidi yaani mtu anaona ni kwa namna gani ataendelea kuwa mbunge, kuwa kwenye nafasi yake hivyo analazimika kujiunga na CCM hasa kutokana na hali ya kisiasa ulivyo kwa sasa kwamba "CCM lazima ishinde kwenye kila uchaguzi".

Huu mtazamo tu ila nafikiri bado Bw. Mwita ana uhuru wa kuchagua chama kipya, haki yake kikatiba. Historia inaandikwa hapa, patakuwa tu na mwisho wa CCM siku moja.
 
Watanzania hatujakata tamaa, nchi yetu imestaarabika na namna pekee ya kubadilisha jamii ni kupitia siasa. Sasa kama mpaka leo kuna watu wanapita bila kupingwa kwasababu kamati kuu ya taifa haijateua mgombea wa upinzani wafikiri wananchi tutafanyaje?

Kamati Kuu isipoteua mgombea wa upinzani, who do you think is the ultimate loser? Chama cha Upinzani au wananchi? Kwa maneno mengine, siasa zikitawaliwa na chama kimoja, ni nani muathirika mkuu wa hali hiyo? Viongozi wa vyama vya siasa?
 
Habarini wanajamvi.....

Wiki kadhaa nyuma nilitoa andiko juu ya kushindwa kazi kwa waitara hasa alipokuwa chadema..Ukweli usiofichika kuwa ndugu waitara alitelekezwa na chadema kiasi kwamba kazi zikawa zinamuelemea, nilimuonya kuwa asipofanya maamuzi magumu basi ataangukia pua.

Kwa niaba ya wanywa bia UEFA, UWANJA MPNA RELINI,MASIKA,MOSHIBAR NA ZINGINE....Napenda kukukaribisha kwa bia maeneo ya uwanja mpana siku utakayokuwa tayari...karibu tuyajenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…