Kilichopo nikwamba Uchaguzi ujao Hakuna mBUNGE wa upinzani atarudi Bungeni so ila anaetamani kurudi Bungeni hatabaki Upinzani huyo Waitara ni mwanzo tu! Maana tutashuhudia mengi Mungu atupatie uzima tuSioni ajabu kwani kabla ya kwenda chadema alitokea huko huko
Kanunuliwa ndio na akajipanga kwa njia io ya kuelezea ruzuku. Ingekuwa Bora Kama angeeleza you hayo akiwa ndani hata angeitisha waandishi wa habari na kueleza then tuone chama ingemfanya nn. Anakuja kuyaongea baada ya kuvuta bulungutu. Amevuta mamilioni za bunge na gari juu. Bado miaka miwili anapata shangingi lingine na 2020 anapata lingine halafu hapo tunashangilia badala ya kujiuliza Ni hasara kiasi gani ametutiaWatakuja hapa kusema kanunuliwa
hii leo mnyika ni good boy sababu yuko kimya!!Kwani unadhani upinzani ni kuwa against kwa kila.kitu?
Kama mpinzani hujawahi kuvuta bangi huwezi kufanya upinzani wa kina SUGU N.A. LEMA,
waige mfano wa waitara,.mnyika, Prof jay na wengine
Sawa kaka! Imani ni muhimu piaCHADEMA haitakufa kaka, Sana sana ndo inaimarika, Magufuli siyo Mungu hata aue upinzani.
Atakufa Magufuli na kuiacha CHADEMA ikiishi.
Hatujali tuna Zitto Kabwe... lolMbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara atangaza kuniuzulu CHADEMA na kuhamia CCM. kajiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema
> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama
> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za luzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
View attachment 820984
Wacha kutuchanganyia ugorodah..another cash to be spent on a senseless by-election!!!
tunaomba asiuliwe akwilina mwingine wakati wa uchaguzi...si angevumilia tu hiyo miaka miwili
Punde atafuatia meya wa Jiji!! Sasa hata waitara naye na mihemko yake anahama si CHADEMA inapumulia masikio!! Nyinyi akina Mura waaichie chama wenye chama, wenzenu hawana nia ya kuongoza bali kujipatia manufaa ya kifedha. Nyinyi mnaenda huko mnadhani wana nia njema na ni wasema ukweli kama mlivyo nyinyi watu wa Mara mnakuta wenzenu waaaaala, wana yao mnabaki kuweweseka. Hamkujifunza kwa Chacha Wangwe, sawa haya sasa na huyu Waitara bado mtakuwa hamjajifunza?Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara atangaza kuhama CHADEMA na kuhamia CCM
> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama
> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za luzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
View attachment 820984
Angelifuata huu ushauri yasingetokea yote haya mkuu.Yaani nyakati tunazo hitaji upinzani wenye nguvu ndiyo unaporomoka kwa kasi.Inabidi Mbowe aachie fikra mpya ziendeshe mambo.
Binafsi natamani iwe hivyo ili ijulikane wazi kuwa bunge ni la chama kimoja.Kilichopo nikwamba Uchaguzi ujao Hakuna mBUNGE wa upinzani atarudi Bungeni so ila anaetamani kurudi Bungeni hatabaki Upinzani huyo Waitara ni mwanzo tu! Maana tutashuhudia mengi Mungu atupatie uzima tu
Nothing than ccm selfish behavior is on control and spirit of poverty to decline tax payer money for reelection [emoji317] [emoji317] [emoji317]Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara atangaza kuhama CHADEMA na kuhamia CCM
> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama
> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za luzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
View attachment 820984
Sasa kuna chama paleCHADEMA kuna zimwi linawala taratibu hawataki kulitoa, litawafikisha pabaya sana wasipoangalia hadi huyu jembe ametoka basi kuna tatizo kubwa sana.