TANZIA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamukama afariki dunia

Ni kweli
 
Siipendi CCM lakini kwa hili natoa pole za dhati. Natumaini mbegu yake (mtoto) imesalimika...

Sasa wewe mtu mzima unawezaje tangaza mambo ya mahaba yako kwa vyama. Kabisa una advocate mapenzi ya chama. So unataka kutuambia hujawahi kama K kulala na kada au kama me kumlala kada. Utakuwa mtu ajabu sana.
 

Namie sijaelewa ni vipi C/S iwe sababu ya kifo cha mama mzazi?
 
Huyu ndiye alisema juzi kuwa matuta ya barabarani yapunguzwe kwa sababu yanaharibu viuno vya wanaume wa Rukwa au ni mwingine?

Apumzike salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Matuta yanahatibu barabara ...yapigwe marufuku tz ...kuna technology nziri zaido zinaweza kutumika na kuzidi kulipendezesha taifa letu badala ya matuta
 
Daah mama watoto wangu ni mjamzito miez 5 na alijifungua kwa Operation miaka miwili iliyopita nina mawazo sana aisee
 
Alikuwa anasafr uchungu ukamshika njian maeneo ya kibaha akafanyiwa upstairs lakini ndo hivyo haikuwa ridhiki

Duh!

Kuna uwezekano alikuwa na complications za kiafya...
 

+ huduma mbovu za afya
 
Mara nyingi ahuwa hatufikirii kuwa mimba ni jatari kiasi hiki. Lakini pia tekolojia zetu za tiba bado ni duni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…