Uwiano wa wabunge utagoma kwa chadema. Hapo ni kusoma namba tu mzee baba!Umeniwahi mkuu,hapo chama hakina cha kupoteza maana watapewa fursa ya kupeleka jina jingine ili kukidhi idadi ya viti maalumu wanavyotakiwa kuwa navyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa hapo, hakuna UCHAGUZI!
Wawachukue hata wote hao wa viti maalumu.
Ninachoshangazwa, ni huyo POLEPOLE. Hana kazi nyingine ya kukieneza Chama, ni kushughurika na manunuzi tu?
Wanaweza mkuu kama wanahama kwa mapenzi yao na si kuhama kwa maslahiMbunge wa Viti Maalum hawezi kujiuzulu kwa kuwa akifanya hivyo chama kilichomteua kitapewa nafasi ya kuteua mwingine. Ndo sababy CCM hawashughuliki kununua wabunge wa viti maalum.
hivi hiyo saa 5 haijafika?Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Polepole ambapo Katibu mkuu wa UWT atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale Lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!
Mie mwenyewe nasubiria hapa na kupita kila comment kuona labda kuna sehemu taarifa imetoka kupitia comment
Hiyo sasa hivi siyo habari tenaHii ni kwa mujibu wa tweet ya Polepole ambapo Katibu mkuu wa UWT atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale Lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!
Watanzania kwa sasa wanajiandaaHakuna jipya, huyo sio wa kwanza na hiyo sio habari ya kushtua tena, fanyeni nnavyotaka maana watanzania wamelala usingizi wa pono, siku wakishtuka mtatamani ardhi ipasuke muingie ni suala la muda tu.
Mbona zenji kuna walio kwisha ingia serikalini tayari kina ADCWameamua kusawazisha kuwa na wa viti maalum pia wanaunga mkono baada ya watu kuhoji mbona wabunge wa kuchaguliwa tu ndio wanaunga mkono juhudi.
Sitashangaa sasa nikisikia na wa Zenji akiunga mkono juhudi.
Hizo zinaonekana ndiyo nafasi nyepesihuyu atapewa wilaya au nafasi ya DED