Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Status
Not open for further replies.
Zero yake ya o-level anaitumia vizuri.
Uzuri wa hapo, hakuna UCHAGUZI!
Wawachukue hata wote hao wa viti maalumu.
Ninachoshangazwa, ni huyo POLEPOLE. Hana kazi nyingine ya kukieneza Chama, ni kushughurika na manunuzi tu?
 
Mbunge wa Viti Maalum hawezi kujiuzulu kwa kuwa akifanya hivyo chama kilichomteua kitapewa nafasi ya kuteua mwingine. Ndo sababy CCM hawashughuliki kununua wabunge wa viti maalum.
Wanaweza mkuu kama wanahama kwa mapenzi yao na si kuhama kwa maslahi
 
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Polepole ambapo Katibu mkuu wa UWT atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale Lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!
Hiyo sasa hivi siyo habari tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameamua kusawazisha kuwa na wa viti maalum pia wanaunga mkono baada ya watu kuhoji mbona wabunge wa kuchaguliwa tu ndio wanaunga mkono juhudi.
Sitashangaa sasa nikisikia na wa Zenji akiunga mkono juhudi.
Mbona zenji kuna walio kwisha ingia serikalini tayari kina ADC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu 'jesca' 'jesca'..........oooh mke wa RAS mara manunuzi..saivi yanahamishwa magoli tu dadeki!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom