Uchaguzi 2020 Mbunge wako amefanya nini kwa miaka hii mitano mpaka sasa?

Ni wajinga ndio maana wametawaliwa na huyo mbunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali hili alishindwa kujibu mbowe akabaki kulia lia tu kwenye vyombo vya habari
 
Unafahamu kazi za mbunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe endelea kukariri kazi za mbunge ila sie tunaelezea yale yaliyo kwenye uhalisia na ndio yanayotufanya tuone yupi anatufaa na yupi hatufai kumchagua,wanafanya ujinga wa kila aina humo bungeni na si katika kazi za mbunge ila ukihoji mambo ya maendeleo ndipo unaulizwa kama unajua kazi za mbunge. Kuna wabunge hata sio wapiga kelele bungeni ila tunaona tija kwenye wanachokifanya.
 
Nakumbuka enzi hizo tunapambana eti kulinda kura za huyu jamaa dah kwel siasa ni nyoko kabsa
 
Uhalisia wa kazi za mbunge ni upi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi zipi za mbunge nilizokariri?
Nataka kufahamu kazi za mbunge ili niweze kumpima mbunge wangu na mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…