Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
Kweli? Kumbe Mbowe naye yupo sahihi?Mbunge Hawezi kufanya Jambo lolote Jimboni na Sio Kazi Yake..Serikali ndio wajibu wake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli? Kumbe Mbowe naye yupo sahihi?Mbunge Hawezi kufanya Jambo lolote Jimboni na Sio Kazi Yake..Serikali ndio wajibu wake...
Kuna uhusiano gani kati ya changio langu na swali lako?? Kama unataka kuzijua kazi za mbunge uliza hivyo wala si kuja kitofauti. Kama wazijua usijifanya mjuvi sana. Weka wazi hapa kuwa kazi za mbunge ni:,,,,
Hatuzijui tutajie.
Sio kazi ya mbunge kujenga chochote kazi ya mbunge ni kuwasemea shida zao wananchi bungeni iliyobaki ni serikali kutekeleza matakwa wa wapiga kura jimboniKuelekea mwaka huu wa uchaguzi,leo hebu tuwaangalie viongozi wetu wa majimbo(wabunge),tuliowapa dhamana ya uongozi ndani ya miaka mitano.Huku nilipo ni ktk jimbo la Ukonga jijini
Dar_es_salaam,na mbunge wa huku ni ndugu Mwita waitara kwasasa ni naibu waziri wa Tamisemi,huyu mtu mpaka sasa tangu anaingia mpaka anatoka hakuna kilichobadilika, kuanzia
kivule,kitunda,gongo la mboto na maeneo yake kama ulongoni changamoto kubwa ilikuwa madaraja na ubovu wa barabara, mvua zikinyesha kama una usafiri inabidi utafute parking sehemu nyingine hakuna madaraja na barabara mbovu,wakati anaanza kampeni kawanunulia sana wazee kahawa za kutosha wakaingia mkenge na vuguvugu lile la mabadiliko.
Baadaye alipounga juhudi ndio hata kurudi jimboni hajawahi,leo hii amerudi kwao huko mara ameanza kampeni za chinichini huku Ukonga anauhakika hapiti tena,huko mlipo wakuu hali ipoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Stanslaus Mabula mbunge wa Nyamagana jiji la Mwanza kapigania sana tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama maeneo sugu kama buhongwa,mahina,kishili bulale,sawa ya chini na ya juu.
Bwana stanslaus mabula imefanikiwa kuionganisha barabara muhimu ya buhongwa kishiri kwa kiwango cha changarawe.
Ameboresha zahanati nyingi kwa kuongeza vifaa tiba na majengo.
Bwana Mabula kajitahidi sana ukilinganisha na wabunge waliopita kwa kuhakikisha vijana wanapata mikopo kupita mfuko wa vijana wa mkoa.kwa kweli Stanslaus Mabula ana mengi mazuri na ana stahili pongezi za dhati,ametufanyia mengi wana nyamagana na anastahili pongezi.
Yapo mengi sana lkn naomba niwasilishe haya machahce
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa zile ahadi wanazotoa za nini?Sio kazi ya mbunge kujenga chochote kazi ya mbunge ni kuwasemea shida zao wananchi bungeni iliyobaki ni serikali kutekeleza matakwa wa wapiga kura jimboni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upotoshaji unafanywa na hao wabunge maana wanatoa ahadi kwa wananchi huku wanajua kuwa hawana pesa za kutekeleza hizo ahadi ila hawasemi ukweli.Sio yeye ni serikali bwana mkubwa.yeye pesa ya kujenga barabara kuvuta maji hana.msipotoshe wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuzijui tutajie.
Kuelekea mwaka huu wa uchaguzi,leo hebu tuwaangalie viongozi wetu wa majimbo(wabunge),tuliowapa dhamana ya uongozi ndani ya miaka mitano.Huku nilipo ni ktk jimbo la Ukonga jijini
Dar_es_salaam,na mbunge wa huku ni ndugu Mwita waitara kwasasa ni naibu waziri wa Tamisemi,huyu mtu mpaka sasa tangu anaingia mpaka anatoka hakuna kilichobadilika, kuanzia
kivule,kitunda,gongo la mboto na maeneo yake kama ulongoni changamoto kubwa ilikuwa madaraja na ubovu wa barabara, mvua zikinyesha kama una usafiri inabidi utafute parking sehemu nyingine hakuna madaraja na barabara mbovu,wakati anaanza kampeni kawanunulia sana wazee kahawa za kutosha wakaingia mkenge na vuguvugu lile la mabadiliko.
Baadaye alipounga juhudi ndio hata kurudi jimboni hajawahi,leo hii amerudi kwao huko mara ameanza kampeni za chinichini huku Ukonga anauhakika hapiti tena,huko mlipo wakuu hali ipoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri hapo mkuu utakuwa umeridhika sasa.1.Kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba
2.Kutunga sheria
Kwa madhumuni ya utekelezaji wa madaraka yake Bunge laweza(a) kumuuliza Waziri yeyoyote swali lo lote kuhusu mambo ya umma katika Jamhuri ya Muungano ambayo yako katika wajibu wake; (b) kujadili utekelezaji wa kila Wizara wakati wa Mkutano wa Bunge wa kila mwaka wa bajeti (c) kujadili na kuidhinisha mpango wowote wa muda mrefu au wa muda mfupi unaokusudiwa kutekelezwa katika Jamhuri ya Muungano, na kutunga sheria ya kusimamia utekelezaji wa mpango huo; (d) kutunga sheria pale ambapo utekelezaji unahitaji kuwapo sheria; (e) kujadili na kuridhia mikataba yote inayohusu Jamhuri ya Muungano na ambayo kwa masharti yake inahitaji kuridhiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonesha ubunge ni kazi moja rahisi sana ila ina malipo makubwa.Tuonyeshe budget ya mbunge ! wabunge ni wawakilishi tu kisheria hawana budget yeyote ya kusaidia mradi wowote. Ni wasemaji tu wa sehemu yenu.
Inaonesha ubunge ni kazi moja rahisi sana ila ina malipo makubwa.
Sasa wamezingatia nini kuweka hayo malipo makubwa?
Inaonesha ubunge ni kazi moja rahisi sana ila ina malipo makubwa.
Sasa wamezingatia nini kuweka hayo malipo makubwa?
Nafikiri hapo mkuu utakuwa umeridhika sasa.
Mbunge anatakiwa kuieleza serikali mahitaji ya jimbo lakeKuelekea mwaka huu wa uchaguzi,leo hebu tuwaangalie viongozi wetu wa majimbo(wabunge),tuliowapa dhamana ya uongozi ndani ya miaka mitano.Huku nilipo ni ktk jimbo la Ukonga jijini