Uchaguzi 2020 Mbunge wako amefanya nini kwa miaka hii mitano mpaka sasa?

Uchaguzi 2020 Mbunge wako amefanya nini kwa miaka hii mitano mpaka sasa?

Kuelekea mwaka huu wa uchaguzi,leo hebu tuwaangalie viongozi wetu wa majimbo(wabunge),tuliowapa dhamana ya uongozi ndani ya miaka mitano.Huku nilipo ni ktk jimbo la Ukonga jijini

Dar_es_salaam,na mbunge wa huku ni ndugu Mwita waitara kwasasa ni naibu waziri wa Tamisemi,huyu mtu mpaka sasa tangu anaingia mpaka anatoka hakuna kilichobadilika, kuanzia

kivule,kitunda,gongo la mboto na maeneo yake kama ulongoni changamoto kubwa ilikuwa madaraja na ubovu wa barabara, mvua zikinyesha kama una usafiri inabidi utafute parking sehemu nyingine hakuna madaraja na barabara mbovu,wakati anaanza kampeni kawanunulia sana wazee kahawa za kutosha wakaingia mkenge na vuguvugu lile la mabadiliko.

Baadaye alipounga juhudi ndio hata kurudi jimboni hajawahi,leo hii amerudi kwao huko mara ameanza kampeni za chinichini huku Ukonga anauhakika hapiti tena,huko mlipo wakuu hali ipoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTEmbunge wangu amefanikiwa kuunga mkono juhudi
 
chif sawa ya juu kuna mtaa unaitwa kibundumundu juu ya mlima yamewekwa matenki makubwa mawili maji yamevutwa mpaka hapo yakitokea igoma kwa ajili ya kusambaza maji bohongwa yote lkn pia sawa ya chini kuna pampu mpya inafungwa na wachina kwa ajili ya kuvuta maji kutoka kwenye chanzo kipya cha maji butimba.sawa ya chini kwa sasa inapata maji kutokea mkolani na mahina.mm nimejenga huko na kila mwezi naenda kukagua vibanda vyangu napahamu vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, naona unalitazama jimbo LA nyamagana kwa angle ya sahwa. Kwani kila unachokieleza kimelenga huko kana kwanba ndio eneo pekee katika jimbo..
Kueleza kuwa maji yanapatikana buhongwa na hasa bulale wakati wakazi wake tukilalamika ukosefu wa huduma hivyo kwa muda wa hadi wiki moja ni kutukosea.
Kwa kuwa umeiongea buhongwa, jitahidi kuuliza au kufika bulale kama hiyo njia inahitaji kuitwa barabara. Kuna watu watakushabgaa kuwa barabara zinapitika ilhali kwa sasa bajajj za kutoka buhongwa kupitia nyanembe hadi bulale, zimesitisha safari kutokana na ubovu wa barabara.
Vivyo hivyo kwa barabara nyingi za mwanza ni majanga. Muulize kwanini barabara ya California alikokuwa akiishi miaka miwili iliyopita haipitiki ilhali alikihamia upande wa pili ikikarabatiwa kila siku!
Umefika stand ya nyabulogoya, inafaa kwa matumizi ya binadamu,? Kuna mbunge hapo? Anafanya nini?
Kuzungumzia changamoto ya mji katika mji wa mwanza, ashakum si matusi,, ni ujuha ! Ni mpumbavu pekee atalia kiu akiwa katikati ya kisiwa. Vipi ukose maji ilhali umezingirwa na ziwa?
Hicho unachosema chanzo kipya cha butimba, kwanza ungetuambia kitaanza lini
 
Kuelekea mwaka huu wa uchaguzi,leo hebu tuwaangalie viongozi wetu wa majimbo(wabunge),tuliowapa dhamana ya uongozi ndani ya miaka mitano.Huku nilipo ni ktk jimbo la Ukonga jijini

Dar_es_salaam,na mbunge wa huku ni ndugu Mwita waitara kwasasa ni naibu waziri wa Tamisemi,huyu mtu mpaka sasa tangu anaingia mpaka anatoka hakuna kilichobadilika, kuanzia

kivule,kitunda,gongo la mboto na maeneo yake kama ulongoni changamoto kubwa ilikuwa madaraja na ubovu wa barabara, mvua zikinyesha kama una usafiri inabidi utafute parking sehemu nyingine hakuna madaraja na barabara mbovu,wakati anaanza kampeni kawanunulia sana wazee kahawa za kutosha wakaingia mkenge na vuguvugu lile la mabadiliko.

Baadaye alipounga juhudi ndio hata kurudi jimboni hajawahi,leo hii amerudi kwao huko mara ameanza kampeni za chinichini huku Ukonga anauhakika hapiti tena,huko mlipo wakuu hali ipoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ni shida kubwa, kuelekea Majohe, barabara haipitiki kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wangu Jitu Patel hajafanya lolote hata hajui jimbo lina kata ngapi,huyu kabachori ikifika uchaguzi anaanza kumwaga hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stanslaus Mabula mbunge wa Nyamagana jiji la Mwanza kapigania sana tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama maeneo sugu kama buhongwa,mahina,kishili bulale,sawa ya chini na ya juu.

Bwana stanslaus mabula imefanikiwa kuionganisha barabara muhimu ya buhongwa kishiri kwa kiwango cha changarawe.
Ameboresha zahanati nyingi kwa kuongeza vifaa tiba na majengo.

Bwana Mabula kajitahidi sana ukilinganisha na wabunge waliopita kwa kuhakikisha vijana wanapata mikopo kupita mfuko wa vijana wa mkoa.kwa kweli Stanslaus Mabula ana mengi mazuri na ana stahili pongezi za dhati,ametufanyia mengi wana nyamagana na anastahili pongezi.

Yapo mengi sana lkn naomba niwasilishe haya machahce

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la maji Mwanza ni sugu kwa majimbo yote, usitudanganye hapa. Mie napiga simu za malalamiko ya maji almost daily na hakuna jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela za hawa watu zinakuwaga ngumu sana,unaweza kusema utazipokea ila huwapigii kura lakini ukifika ktk sanduku la kura nafsi inakataa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]wanazipitoshaka kuziloweka pahala kabla ya kuzigawa. Chief huo ni uzembe wako binafsi kupiga kura kwa ajili ya pesa kwa mtu ambaye ni bora kuongozi badala ya kuongozi bora

Nazungumzia maeneo ya vijijini mkuu huko ndio mitaji ya wanasiasa ilipo na wanajua wapi kwa kuwashika,huku mijini wengi wana uelewa kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja hizi hebu mpelekee Rais ameahidi mangapi?
1.hakuna atakekosa mikopo elimu ya juu kalitimiza??

2.lap top kwakila mwalimu katekeleza?

3.million 50 kila Kijiji katakeleza?

4.Ajira kwa vijana katekeleza?

5. Nyongeza ya mishahara kea watumishi katekeleza??

.........

Wabunge wa ccm ni wahovyooo Sana
Kwa mantiki hiyo unasema; Tuwaondoe hawa mambumbumbu wa ccm tuweke vichwa wa kutoka upinzani. Serekali itanyooka na maendeleo yatakuja??
 
Back
Top Bottom