Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Ni jamii ya wale wa Polisi vile vile...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jamii ya wale wa Polisi vile vile...
Aisee[emoji22]Hapana huyo anajua kila kitu, jambo la kwanza kwa mtu yoyote anapokwenda nunua kitu lazima ataulizia model ili ajue anafuga nini.
Huyu aliambiwa na alijua anachukua toleo gani la mbwa. Ni wale watu wajuaji wanapoambiwa kitu fulani hakifai yeye anataka kujifunza kwa gharama anata kuprove kuwa yeye ana maamuzi ya kitofuti.
Kuna m'moja hapo Arusha na yeye aliyachukua haya maumbwa akafuga, yalimuulia mtoto wake mdogo wa miaka 2. Hadi leo nadhani akiona hawa mbwa kwenye tivi anaweza vunja.
Imagine kupoteza mtoto wako kizembe sababu ya ujuaji mwingi na kujifanya wewe unajua sana mbwa. Maumbwa mawili yalikamata shingo ya mtoto yalimrarua huku mwingine amekata paja.
Nadhani jamaa akikumbuka ile tukio anakaa chini analia sana right kama angesikiliza maneno ya watu wenye hekima walipomwambia haya maumbwa sio ya kufuga yeye akasikiliza maneno ya dog trainer aliyekuwa anamwambia hawa mbwa ni wazuri ukiishi nae hivi na vile.
Inaonekana hauwajui kabisa Pitbull dog mazee na kitu usichokijua utatoa maelezo kwa hisia tu ila hayo madude yana balaa sana..Mbwa hawezi kupoteza kumbukumbu. Inawezekana hao wanafamilia hawajazoea kuwa nje muda huo hivyo kupelekea mbwa kutowatambua badala yake wameonekana kama wavamizi, wezi n.k
Hauhofii familia nyumbani?Hasa watoto[emoji15]Ni jamii ya wale wa Polisi vile vile...
Hivyo havina alternative but SIYO LAZIMA mtu kufuga mbwa au mbwa wa hatari. That is something you can live without.Kila siku watu wanapata ajali na kufa wengine wanapata vilema vya maisha kwa sababu tu ya magari/bodaboda. Vipi na upande huu unatushauri nini dada?
subiri sasa mwenyeji ajisahau aingine ndani labda kuchukua simu yake inaita wee akirudi anakuta unavuja damu.Ndugu sio hao sijui Bulldog/pitbull. Hao ni mbwa wa hovyo kabisa kufuga na anayefuga huwa namshangaa sana. Yaani huwa sijui wanapataga wazimu maana kikinuka hata wewe mfugaji mwenyewe wanakujeruhi kama sio kukuua kabisa. Nikijua una hao mbwa kwako hautaniona milele hata uwe ndugu yangu wa damu siji kabisa. Mbwa gani ukikaa na mwenyeji anakuwa mpole kabisa anachezesha tu mkia kama rafiki subiri sasa mwenyeji ajisahau aingine ndani labda kuchukua simu yake inaita wee akirudi anakuta unavuja damu.
Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8/1/2024 majira ya saa Nne usiku Familia ya Ndugu Nicholaus Kunju ilishambuliwa na Mbwa na kuisababishia madhara Kwenye sehemu mbalimbali za miili yao,walio shambuliwa ni Mke wake pamoja na watoto.
View attachment 2865985
Walikuwa Mbwa aina ya Bull dog ambao anawafuga kwa ajili ya ulinzi nyumbani kwake Usagara, Mbwa hao walimshambulia binti yake wakati ametoka nje usiku huo wa saa Nne akiwa amesindikizwa na kaka yake, mara baada ya uvamizi huo kijana mwingine na mama yao walitoka kutoa msaada lakini Mbwa hawakuwatii na kuwashambulia wote.
Wote walioshambuliwa na Mbwa sio wageni kwa Mbwa hao kwani wamekuwa wakiwahudumia kwa chakula, baada Familia hiyo kujinusuru na kukimbilia ndani Mbwa waliendelea kuwa wakali na hapakuwa na uwezekano wa kuwapatia huduma majeruhi kwani hakuna alieweza kuingia wala kutoka ndani ya uzio.
Wakati haya yanatokea Kunju alikuwa kazini zamu ya usiku na alipigiwa simu kujulishwa juu ya tukio huku na kuambiwa mmoja wa majeruhi ana hali mbaya, Tulibahatika kufanya mawasiliano na Polisi kituo cha Misungwi ili waweze kufika eneo la tukio waue Mbwa ili msaada kwa majeruhi Upatikane.
Kwa ushirikiano na Zombwe na Lenox tulifanikisha kumtoa Kunju Kazini ili akashiriki uokoaji. Polisi walifika Nyumbani kwa Kunju majira ya saa saba usiku wakitanguliwa na watu wa Maliasili na wafanikiwa kuwapiga risasi Mbwa wote wawili na Majeruhi wakapelekwa Hospilali ya Cf kwa Matibabu.
Majeruhi wote wanaendelea vizuri, Shukrani kwa wote walioshiriki Kwenye utatuzi bila kumsahau Sheik Abdallah Omari.
C & P FROM X
- Pdizaina05
Daah hao mbwa hawana shida wana mapenzi sana na binadamu yale ya kweli ukitoka anatamani akusindikize mpaka getini kama usiku wanaonyesha ishara ya upendo kwa kutikisa mikia yao hao Pitbull hawatikisi mkia muda wote wapo kishari shari tu mbwa akilala ukimstua ghafra kwa bahati mbaya anakubwekea mwenyewe huyo ndio Pitbull na pia hawa German wanafundishika sana...
Kwa kweli nyie watu wenye mbwa mtatembeleana wenyeweDaah hao mbwa hawana shida wana mapenzi sana na binadamu yale ya kweli ukitoka anatamani akusindikize mpaka getini kama usiku wanaonyesha ishara ya upendo kwa kutikisa mikia yao hao Pitbull hawatikisi mkia muda wote wapo kishari shari tu mbwa akilala ukimstua ghafra kwa bahati mbaya anakubwekea mwenyewe huyo ndio Pitbull na pia hawa German wanafundishika sana...
Jibwa kama hili unalifuga ili iweje? Sababu hata katika urembo halipo lipo kama shetani
View attachment 2866035
Ila watu mna visiran eti ubweke mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]mbwa mliemfuga kawageukia si bora mfuge mbuzi utakunywa mchuzi? mimi mbwa wa nn si bora nibweke mwenyewe usiku kucha kukimbiza wezi kuliko majanga ya kujitakia
Mbwa wangu anakaa banda kubwa hata hauwezi kujua kama pana mbwa na wala apigi kelele hovyo na pia ni wale mbwa wanaofundishwa sio yupo nje tuu lazima aume mtu ni mbwa mkubwa sana naweza kufanya nae mazoezi nje huko bila hata kumfunga na hana shida ila ukimpa ishara kamata kile ndio hapo anatii amri,nilikua na mbwa wa kawaida Mbeya ila alikua mkali kweli pana mama alitupa mtoto maeneo ya mbali kidogo wale mbwa madume walimzingira yule mtoto mpaka alfajiri walipokuja watu ndio wakaondoka na yule mtoto alikua mzima hawakumdhuru na alichelewa kuingia ndani maana dume ana kawaida hata ukuta uwe mkubwa vip anaruka na kurudi ndani kwa wale wasiokua na mafunzo mimi mbwa siwaogopi kabisaa ila sio hao Pitbull jamii ya Simba...Kwa kweli nyie watu wenye mbwa mtatembeleana wenyewe
Nikijua tu una mbwa ndani kwako sifiki.. maisha ya mashaka siyawezi.
Hilo mbona jasusi kabisa😳
Hilo mbona jasusi kabisa😳
Yaani kile kitendo cha kwenda kwa mtuMbwa wangu anakaa banda kubwa hata hauwezi kujua kama pana mbwa na wala apigi kelele hovyo na pia ni wale mbwa wanaofundishwa sio yupo nje tuu lazima aume mtu ni mbwa mkubwa sana naweza kufanya nae mazoezi nje huko bila hata kumfunga na hana shida ila ukimpa ishara kamata kile ndio hapo anatii amri,nilikua na mbwa wa kawaida Mbeya ila alikua mkali kweli pana mama alitupa mtoto maeneo ya mbali kidogo wale mbwa madume walimzingira yule mtoto mpaka alfajiri walipokuja watu ndio wakaondoka na yule mtoto alikua mzima hawakumdhuru na alichelewa kuingia ndani maana dume ana kawaida hata ukuta uwe mkubwa vip anaruka na kurudi ndani kwa wale wasiokua na mafunzo mimi mbwa siwqogopi kabisaa ila sio hao Pitbull jamii ya Simba...
Yaani mbwa alisharuka na Mtoto unasema mwite jina😳Mbona huyo mbwa sio bulldog?. Huyu ni boerboel na bado nadhani sio pure breed.
Bulldog kuna mtu lazima wangebaki naye maana aking'ata kang'ata tena wawili ndio kabisaa angekufa mtu hapo kama sio watu.
Mbwa hataki mambo yakushtukizwa hata ukiwa mhudumu wake. Pia kuna uwezekano rangi za nguo walizokuwa wamevaa zikawa ni rangi alizofundishiwa huyo mbwa, ukichukua ni usiku ni rahisi kushambuliwa.
Ukiona mbwa wako amekubadilikia muite jina bila kusita (ni ngumu) ila kamwe usikimbie au kumtishia maana atakurarua hautaamini.
Mwisho mbwa wa hivi hawashauriwi kwa ulinzi majumbani, fuga German shepherd au Belgian Malinois hawa ni mbwa asili sio wa maabara.
Hao watoto kuna namna alikosea, mbwa ukute kanguruma wao wakaanza mbio au madihara nae.Yaani mbwa alisharuka na Mtoto unasema mwite jina😳