Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

Hata ng'ombe kuna mmoja alishawahi kumuua Boss wake huko kijijini
Wengine wanakuwa na visirani na kuna mmoja ashawahi kunitimua mbio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka ng'ombe wetu alikua dume, lilikua kali hilo. Sasa kuna siku nachunga si nikawa namzuia asiende upande wa pili, wee asinigeuke alinitimua mbio.

Baadae walilichinja, maana angeleta hasara.
 
Kwani hawakuwa na risasi za kuwafanya wasinzie hawa maliasili.

Sema haya mabulldog inaelekea si ya kuyaamini maana nishasikia story nyingi za hata kuwageuka wenye nayo
Fuatilieni, haya mambwa yameshapigwa marufuku katika nchi nyingi duniani. Ukifuga upate kibali na unalikatia bima ya third party.
Bongo nyoso sheria hakuna na watu elimu hawana wanafuga fuga tu, mnadhani hao ni mbwa koko wenu?
Hizi breeds zingine ni mijibwa pori.....in two weeks ukiondoka nyumbani mbwa ameshakusahau. Jichanganye akurarue........

Bongo bahati mbaya.
 
Huyo sio Bull dog, hiyo ni jamii ya Pitbull. Bull dog wanamashavu kama ya mzee msaafu. Huyo ni Pitbull, maumbwa ya hovyo sana hayo. Ukitaka kuweka rehani usalama wa familia yako fuga hayo matakataka, mara mbili ufuge simba ujue unafuga mnyama wa porini ila sio hayo matakata.
Mimi binafsi siyapendi hata kuyasikia na mtu nikiskia yamemdhuru huwa nasema bora ili watu wajifunze maana kuna watu kuelewa hadi wapate madhara.
 
Ukifuga mbwa unatakiwa umzoeshe watu tokea akiwa mdogo, na uwe unampa mazoezi ya kutosha, haswa mbwa wakubwa wenye nguvu.

Watu wanakariri kufuga mbwa wa kizungu fashion, kama unamnunua ili akae bandani atoke usiku tu bora uache.
Huyu ni Pitbull hawa hawafundishi ni breed ambayo ina akili ya hovyo kama binti mcharuko. Huyo mbwa anaweza kengeuka dakika yoyote akashambulia hata mtu ambaye kila siku huwa anacheza nae na anamfahamu.
 
Hawa ndio Bull dog. View attachment 2866881View attachment 2866882View attachment 2866883View attachment 2866884View attachment 2866885View attachment 2866886
download.jpg
 
Back
Top Bottom