Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Hao Mbwa wapo aina kama Nne hivi jina lao kuu ni Pit Bull ila kwenye aina hizo nne ndio yupo huyo American Bulldog sio mbwa hao yapo Makampuni SA ukiwa na huyo mbwa home ukitaka kukata Bima wanakataa labda ukate bima kubwa sana nilishangaa...wanakuuliza vitu hatalishi ulivyonavyo ukitaja Pit Bulldog basi hakuna Bima utaka hapo watakuzungusha tu.Hee🤣🤣🤣
Anaweka kinyongo😂😂😂
Mimi sitaki kabisa masuala ya mbwa.
Hivi life span ya mbwa huwa inarange miaka mingapi!?
Nimekumbuka mbwa wangu wa utotoni nilimwita Simba, siku moja namlisha chakula akanipara mkono.