Mgalula MzTz
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 462
- 421
Unawachoma sindano ya usingizi halafu wakiamka unawafanyaje ikiwa walioshambuliwa ndio wamiliki wenyewe?Kwa hiyo maliasili wakawaua badala ya kuwapiga risasi ya usingizi wao ni kuua tu hovyo kabisa
Yaan hakuna sindano ya usingizi
Yes lakin kama kamanunu tu ka wema hayo mavampire mengine ndio staki mimiUlikuwa na mpango wa kufuga hayo madude?
GS ni mbwa mzuri sana kwa ulinzi. Nakushauri hivyo pia Mkuu.Hahaha...nimesoma sehemu hawa Rottweiler miaka ya nyuma majeshi-polisi..walijaribu kuwatumia changamoto
1.Ni wakubwa sana na wazito.
2.Bitting force kubwa..walikua wakikamata mualifu..wakiuma mkono.wanavunja mpaka mfupa..damage zikawa kubwa sana..
Kwa michango ya humu naachana na Rott..nabaki na GS....
Huyo mallinois niliwahi kuwa nae ana mzidi mpk paka kukamata panyaBulldog ni mbwa mpumbavu na mjinga sana. Kiufupi ni mbwa kilaza kuliko wote. Hata katikabmafunzo Huwa Yana score division zeo likijitahidi sana four. Germany shepherd ndo huscore one akifeli sana two+
Hivyo bulldog ni mwepesi sana kusahau hata walinzi wa kampuni binafsi wanangatagwa sana pumbu na Hawa viumbe. Waulize madogo master wanajua ni majinga kishenzi na mengi Huwa hayabweki ni makimya na yanafanyaga kimya kimya tu.
Siyapendi Mimi Yana sura mbaya Kama dokta lemi, masomo makubwa Kama mond na Yana vichwa vikunwa Kama ngombe. Kiufupi siyapendi sana.
Me nawapenda mbwa wanaitwa mallinois Kama sikosei wanatoka ulaya magharibi like Belgium Kama sikosei wale ni konyo na ni waelewa kuliko hata g shepherd
Du...ulimpeleka wapi huyo mbwa a.k.a paka?!Huyo mallinois niliwahi kuwa nae ana mzidi mpk paka kukamata panya
Vipi borebol?Bulldog ni mbwa mpumbavu na mjinga sana. Kiufupi ni mbwa kilaza kuliko wote. Hata katikabmafunzo Huwa Yana score division zeo likijitahidi sana four. Germany shepherd ndo huscore one akifeli sana two+
Hivyo bulldog ni mwepesi sana kusahau hata walinzi wa kampuni binafsi wanangatagwa sana pumbu na Hawa viumbe. Waulize madogo master wanajua ni majinga kishenzi na mengi Huwa hayabweki ni makimya na yanafanyaga kimya kimya tu.
Siyapendi Mimi Yana sura mbaya Kama dokta lemi, masomo makubwa Kama mond na Yana vichwa vikunwa Kama ngombe. Kiufupi siyapendi sana.
Me nawapenda mbwa wanaitwa mallinois Kama sikosei wanatoka ulaya magharibi like Belgium Kama sikosei wale ni konyo na ni waelewa kuliko hata g shepherd
Bulldog ni mbwa mpumbavu na mjinga sana. Kiufupi ni mbwa kilaza kuliko wote. Hata katikabmafunzo Huwa Yana score division zeo likijitahidi sana four. Germany shepherd ndo huscore one akifeli sana two+
Hivyo bulldog ni mwepesi sana kusahau hata walinzi wa kampuni binafsi wanangatagwa sana pumbu na Hawa viumbe. Waulize madogo master wanajua ni majinga kishenzi na mengi Huwa hayabweki ni makimya na yanafanyaga kimya kimya tu.
Siyapendi Mimi Yana sura mbaya Kama dokta lemi, masomo makubwa Kama mond na Yana vichwa vikunwa Kama ngombe. Kiufupi siyapendi sana.
Me nawapenda mbwa wanaitwa mallinois Kama sikosei wanatoka ulaya magharibi like Belgium Kama sikosei wale ni konyo na ni waelewa kuliko hata g shepherd
Give us a break man, mapepo mapepo... WtfKwa taarifa yako hata mbuzi anaweza kupagawa na mapepo na akakutoroka zizini 😂
Tell'em niggaHata huko walikotokea wanaacha maafa mengi tu kila kukicha, info is free online.
Sio kila kitu wabongo this wabongo that
Ashikioiwe kawatoa wapi hawa wauwajiHao mbwa hawafugwi na mtu masikini kama afugae mbwa Koko.
Hao walishapigwa marufuku kufugwa
Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8/1/2024 majira ya saa Nne usiku Familia ya Ndugu Nicholaus Kunju ilishambuliwa na Mbwa na kuisababishia madhara Kwenye sehemu mbalimbali za miili yao,walio shambuliwa ni Mke wake pamoja na watoto.
View attachment 2865985
View attachment 2867418
Walikuwa Mbwa aina ya Bull dog ambao anawafuga kwa ajili ya ulinzi nyumbani kwake Usagara, Mbwa hao walimshambulia binti yake wakati ametoka nje usiku huo wa saa Nne akiwa amesindikizwa na kaka yake, mara baada ya uvamizi huo kijana mwingine na mama yao walitoka kutoa msaada lakini Mbwa hawakuwatii na kuwashambulia wote.
Wote walioshambuliwa na Mbwa sio wageni kwa Mbwa hao kwani wamekuwa wakiwahudumia kwa chakula, baada Familia hiyo kujinusuru na kukimbilia ndani Mbwa waliendelea kuwa wakali na hapakuwa na uwezekano wa kuwapatia huduma majeruhi kwani hakuna alieweza kuingia wala kutoka ndani ya uzio.
Wakati haya yanatokea Kunju alikuwa kazini zamu ya usiku na alipigiwa simu kujulishwa juu ya tukio huku na kuambiwa mmoja wa majeruhi ana hali mbaya, Tulibahatika kufanya mawasiliano na Polisi kituo cha Misungwi ili waweze kufika eneo la tukio waue Mbwa ili msaada kwa majeruhi Upatikane.
Kwa ushirikiano na Zombwe na Lenox tulifanikisha kumtoa Kunju Kazini ili akashiriki uokoaji. Polisi walifika Nyumbani kwa Kunju majira ya saa saba usiku wakitanguliwa na watu wa Maliasili na wafanikiwa kuwapiga risasi Mbwa wote wawili na Majeruhi wakapelekwa Hospilali ya Cf kwa Matibabu.
Majeruhi wote wanaendelea vizuri, Shukrani kwa wote walioshiriki Kwenye utatuzi bila kumsahau Sheik Abdallah Omari.
Mbwa hao ni hatari sana tena sana. Hao ni Pitbull.
Mwenyewe anajuwa kawawekea ulinzi familia yake kumbe ndiyo kawawekea hatari.
Inasikitisha sana.
Kuna jamaa yangu mmoja anao, lakini yeye ana uwezo kifedha, kawawekea watu wa kuwatazama mwanzo mwisho, kuanzia ussfi wao, kula yao, mazoezi yao na mafunzo yao.
Anao hao pitbull kama wanane kwake, akitoka au kurudi mtu wa nyumbani kwake wana banda lao la chuma wahudumu wao wanapigiwa simu wawafungie ndiyo atoke au aingie ndani kukatiza yadi yao.
Boila kuwa na oesa za maana iusijaribu kuwafuga hao, kuna siku watakugeukia.
Hao mbwa ni wehu kabisa. Kula kwa wakati wake, kukojowa kwao kwa wakati wake, kunya kwao kwa wakati wake, kukogeshwa kwao kwa wakati wake, kuli.
Ukibadili ratiba yao, ushakuwa adui kwao, hawana sijuwi nilisahau. Utakoma kusahau.
Watanzania awashauri msiwafuge hao kabisa, hawana ujanja hao.
Ni mbwa wanaohitaji mafunzo...ndicho unachokimaanisha nadhaniUkifuga mbwa unatakiwa umzoeshe watu tokea akiwa mdogo, na uwe unampa mazoezi ya kutosha, haswa mbwa wakubwa wenye nguvu.
Watu wanakariri kufuga mbwa wa kizungu fashion, kama unamnunua ili akae bandani atoke usiku tu bora uache.
Achana na Masai wewe fuga mbwa 20 weweDuh! Pole sana kwa familia kwa majeraha.
Mbona ni balaa sana km vile unamfuga simba/chui.
Naona wamenikatisha kabisa tamaa ya kufuga mbwa sasa! Itabidi tu niwe na masai sasa!