Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

Ukifuga mbwa unatakiwa umzoeshe watu tokea akiwa mdogo....
Huwajui breed hii ya mbwa mzee!

Hawa hata wafugwe na malaika na wamzoee toka akiwa mdogo bado watamnyofoa mapumbu siku 1.

Hii breed hii ya mbwa hawanaga kumbukumbu, uwezo wao wa kufikiri haujafikia GB, siyo MB, ana memory capacity ya KB 11
 
Hilo limbwa ni pitbull, haya mambwa hajawahi kua na akili timamu. Inaonekana jamaa alishikishwa kwa ni juavyo mimi bulldog ana miguu mifup na mkia mfupi. Sasa inaonekana jamaa aliangalia uso tu akajua ni bulldog kumbe ni pitbull jibwa wehu lilo pigwa marufuku kufugwa na nchi zaidi ya 50 ulimwenguni.
 
Jibwa kama hili unalifuga ili iweje? Sababu hata katika urembo halipo lipo kama shetani
images (44).jpeg
 
Juzi Kuna jamaa yangu nilimtembelea nikakuta ana bulldog, nikamwambia hii breed sio ya kufuga nikamuonesha na clips kibao, Hawa mbwa hata wazungu wanasema sio wa kufuga ni ubishi tu wa watu, German Shepherd ni very smart huwezi skia huu ujinga kwao
 
Back
Top Bottom