mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Ndio mkuu, na unatakiwa ufuatilie temperament(tabia) ya mbwa unaetaka kufuga, kuna ambao ni wagumu kufuga na wanahitaji mafunzo mengi...Sasa wao wanawafunga kwa kuwafungia bandani Usiku walinde wanapata stress za kufungiwa na hawapati mazoezi
Kama hapo huyo mbwa si bulldog, bulldogs hawana mikia mirefu, utakuta mhusika alishikishwa mbwa aina nyingine kali zaidi.Kwa hiyo maliasili wakawaua badala ya kuwapiga risasi ya usingizi wao ni kuua tu hovyo kabisa
Yaan hakuna sindano ya usingizi
Ukimpiga ya usingizi then, hao mbwa washaathirika kisaikolojia hawafai tena for domestication.Kwa hiyo maliasili wakawaua badala ya kuwapiga risasi ya usingizi wao ni kuua tu hovyo kabisa
Yaan hakuna sindano ya usingizi
So sad.... Tunawaombea wagonjwa wapone haraka.Bulldog sio breed ya kufuga
Bulldog, Pitbull hao ni baadhi ya Mbwa Kuna nchi ni marufuku kuwafuga labda Kwa kibali maalumuBulldog sio breed ya kufuga
Kumbe wanatengenezwa mabara,!?Bora nibaki na Makoko yangu kuliko hao mambwa ya maabara!
Mbwa timamu ni GS hao wengne ni mwezi mchanga muda wowote wanakubadilikiaHawajui jokes na wanapoteza kumbukumbu
Huwajui breed hii ya mbwa mzee!Ukifuga mbwa unatakiwa umzoeshe watu tokea akiwa mdogo....
Huwajui breed hii ya mbwa mzee!
Hawa hata wafugwe na malaika na wamzoee toka akiwa mdogo bado ..
Mzee kingungeNi Tanzania ?
Hao mbwa si ndo wale waliomshambulia yule baba yake nanii hadi wakamuua?
Angalieni na mbwa wa kufuga, wengine ni chui.
Na wakikudaka wanakamatia pumb*, hawaziachi na kulishnda hutaweza.Kwa haraka haraka nahisi hawa ni south african mastiff, wakali sana wanahitaji mmiliki mzoefu, wanafikisha kilo 70, 80 wana nguvu balaa ni waharibifu....
Sasa ndo ungekua wewe uyo mbwa ungeendelea kuwa nae nyumban?Kwa hiyo maliasili wakawaua badala ya kuwapiga risasi ya usingizi wao ni kuua tu hovyo kabisa
Yaan hakuna sindano ya usingizi
Kabisa yaanNi Tanzania?
Hao mbwa si ndo wale waliomshambulia yule baba yake nanii hadi wakamuua?
Angalieni na mbwa wa kufuga, wengine ni chui.
😂😂Jamani tujitaidi kufuga mbuzi tunywe michuzi hizi mbanga nyingine ni gharama kuzifuga alafu Zina asilimia kubwa zikakusababishia ujane Na kukuzikia watoto