Mbwa anauzwa 300k

Haka kambwa kamejaa minyoo tu kwenda kuambukiza wengine. Ndo unataka kuuzia watu kifurushi cha minyoo? Ondoa hii picha kanatika kichefu chefu. Tafuta pesa kama 300,000 tafuta mtu mpe hiyo pesa na haka kaminyoo home.
daah , wabongo ni wabongo tuu , minyoo atoe wapi ? huyo hali ugali na vichwa vya dagaa kama hao mbwa wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ