100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Kama ana minyoo si anatibiwa.Haka kambwa kamejaa minyoo tu kwenda kuambukiza wengine. Ndo unataka kuuzia watu kifurushi cha minyoo? Ondoa hii picha kanatika kichefu chefu. Tafuta pesa kama 300,000 tafuta mtu mpe hiyo pesa na haka kaminyoo home.