Mbwa wanaponatana wakijamiiana tatizo huwa kwa jike au kwa dume?

Lile huwa si tatizo ndivyo walivyoumbwa kibaiyolojia ni kwamba mbwa dume wana kiungo kwenye uume wao kinachojulikana kama "bulbis glandis " kinachojaa pale anapokaribia kumwaga mbegu .

Ambacho kinamzuia dume kuchomoa uume wake kwenye uke wa mbwa jike ila muda unapozidi kwenda kiungo kile huwa kinapungua na kisha mbwa kutengana ila jike linakuwa limeshiba mbegu ambazo zitapelekea kupata mimba.
 
Mimba ya kibabe
 
Nakumbuka nikiwa na akili timamu Kuna siku tunakatisha mitaa... na mama yangu mzazi Mara paaaaa tukakukutana na hiyo kitu duhhhh aibu niliyosikia weeeeee nilivunga kama sijaona chochote na watu walikuwa wanasimama kushangaa kideo Cha Bure...yaani nilikuwa nasikia kurarua kicheko nikakimeza[emoji38][emoji38]sisi watu tuliosoma Cuba hatuongeagi hivyo vitu na Wazee....Cuba hoyeeee
 
Back
Top Bottom