Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Wewe Je?Anha,hapo sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Je?Anha,hapo sawa
Nimeyaona mkuu,mpaka inavyonasaWewe Je?
Mashetani ni watuJamani sa mbona alikua anawafanyia ukatili hivi....
Mbwa wako wana vibamiaMbwa wananasana endapo itatokea kitu cha kuwasumbua mfano watu au kitu chochote kuwatoa kwenye mood ila wakiwa wenyewe wanafanya vizuri bila kunasiana, mimi ni mfugaji wa mbwa naandika from experience
Hahahahaaa kama Nakuona ulivyokuwa makini na huo mtanange...Nimeyaona mkuu,mpaka inavyonasa
Nafuga pia so Niko makiniHahahahaaa kama Nakuona ulivyokuwa makini na huo mtanange...
Waooh hongera sanaa naamini siku moja utakuja kunipa mafunzo kidogo kuhusu ufugaji wa hao viumbeNafuga pia so Niko makini
SawasawaIpo ndani ya uume, baculum ina prolong ejaculation
Yeah,usijaliWaooh hongera sanaa naamini siku moja utakuja kunipa mafunzo kidogo kuhusu ufugaji wa hao viumbe
Mada zingine bhana 😆Daah 🤣🤣🤣🤣
PamojaYeah,usijali
BinadamuNani kaiga?
Wewe si ndio mshika dau na mbia mkubwa wa mada hizi?Mada zingine bhana 😆
Za mbwa?Wewe si ndio mshika dau na mbia mkubwa wa mada hizi?
Jau sana yaani 🤣🤣🤣Mada zingine bhana 😆
Mimba ya kibabeLile huwa si tatizo ndivyo walivyoumbwa kibaiyolojia ni kwamba mbwa dume wana kiungo kwenye uume wao kinachojulikana kama "bulbis glandis " kinachojaa pale anapokaribia kumwaga mbegu .
Ambacho kinamzuia dume kuchomoa uume wake kwenye uke wa mbwa jike ila muda unapozidi kwenda kiungo kile huwa kinapungua na kisha mbwa kutengana ila jike linakuwa limeshiba mbegu ambazo zitapelekea kupata mimba.