The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Kuna watu wanaona kila mzee wanaweza kummudu kumuamulia mambo.Thank you- wewe unawafahamu vizuri sana wazee wetu! Na kwa kariba ya wazee kama Mzee Samatta ambae anaonekana wazi ni mtu wa kujichanganya, katu huwezi kumwahamishia Ushuani uzeeni!!
Upo sahihi kabisa! Unless mwenyewe yupo willing, vinginevyo best option ni kuyaboresha mazingira aliyoyazoea! Tena kama wazee wenyewe ni wale wa vijijini waliozoea kujishughulisha shughulisha hata kama hakuna anachopata, ukimleta mjini unaweza kumpunguzia hata siku za kuishi kwa sababu mtu ambae tangu utotoni hadi uzeeni kazoea mara kwenda shamba, mara kuokota kuni na kujitishwa maji halafu umpeleke sehemu anashinda ndani tu kwenye kochi kuangalia tv! Kama yupo reluctant na kuhama, bora hiyo nyumba mzuri, tv na makochi kamwekee mazingira yale yale ambayo ataamka asubuhi atachukua jembe kung'oa ng'oa majani kuzunguka nyumba, na hapo utamwongezea siku kadhaa za kuishi!Kuna watu wanaona kila mzee wanaweza kummudu kumuamulia mambo.
Kuboresha alipo inafaa zaidi lakini kwa mjini ni ngumu sana. Pia kuwahamisha watu hasa waswahili ni ngumu. Ukitaka kuwatoa wanaona umeanza kiburi na mzee ndio kagomea hapo hataki kuhama anasema pesa peleka msikitini
Kwa mjini haswa Uswahilini yapo sana na wanawake wengi wanaishi hivi siku hizi, hawatembei hovyo mitaani kujiuza.Hayo mambo yapo,
Yale yale tu, ni maeneo hayo hayo.....kuchezea kote maisha alikwenda kujificha uchochoroni, bangi hizi jamani.Wema alikuwa anaishi Mtoni Kijichi na sio Mbagala!
Kijichi uchochoroni? Hivi hata Kijichi kwenyewe unakufahamu wewe au unasikia tu Kijichi?! Utaamua kuishi Kijichi uchochoroni ikiwa huna pesa lakini kuna neighborhood kubwa sana ya Kijichi ambayo ni ya Kishua!!Yale yale tu, ni maeneo hayo hayo.....kuchezea kote maisha alikwenda kujificha uchochoroni, bangi hizi jamani.
Mzee Samatta sio kundi hilo,Upo sahihi kabisa! Unless mwenyewe yupo willing, vinginevyo best option ni kuyaboresha mazingira aliyoyazoea! Tena kama wazee wenyewe ni wale wa vijijini waliozoea kujishughulisha shughulisha hata kama hakuna anachopata, ukimleta mjini unaweza kumpunguzia hata siku za kuishi kwa sababu mtu ambae tangu utotoni hadi uzeeni kazoea mara kwenda shamba, mara kuokota kuni na kujitishwa maji halafu umpeleke sehemu anashinda ndani tu kwenye kochi kuangalia tv! Kama yupo reluctant na kuhama, bora hiyo nyumba mzuri, tv na makochi kamwekee mazingira yale yale ambayo ataamka asubuhi atachukua jembe kung'oa ng'oa majani kuzunguka nyumba, na hapo utamwongezea siku kadhaa za kuishi!
Mkuu yani ACP Akakae Masaki hawana ubavu huo tokea Zamani mpaka kesho. Polisi wengi njaaa ukijumlisha na pesa zao za rahana, watu wanashangaa maisha ya Mzee Samatta wanatakiwa wajue hayo ndiyo Maisha yao Polisi wengi, huyo Baba Samatta angelikuaga Mwanajeshi wa JWTZ angekua tofauti kwanza angekua na eneo kubwa ata kama ni Uswahilini na Nyumba nzuri.Mzee alikuwa na cheo cha ACP.Masaki,obey ndiyo nyumba za watu wa vyeo vyake walipokuwa wanaishi.Mzee alichagua life style ya kiswaziiiii kwa uswahili wake mwenyewe.
Unajidanganya weweKijichi ni mtoni,mtoni sio mbagala
Mbagala kwa ovyo sana.Mbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam.
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale, Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu, najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi Mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako. Wachezaji wenzako wa Ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana.
Sio kwamba wa Masaki hawafi, ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu. Mbagala ni ‘ushenzini’
Watu wamekuja msibani hakuna parking, hakuna sehemu ya kufunga hema
Kama aligoma kuhama ungehamisha majirani ukaboresha makazi yake hapohapo
Tibaigana akiwa na cheo cha ACP alikuwa anaishi masaki.Alfred Gewe alivyokuwa na cheo cha ACP alikuwa anaishi oysterbay.Mwidadi Ali akiwa ACP alishi obey, kastaafu yupo Temeke uswaziuswazi.Mkuu yani ACP Akakae Masaki hawana ubavu huo tokea Zamani mpaka kesho. Polisi wengi njaaa ukijumlisha na pesa zao za rahana, watu wanashangaa maisha ya Mzee Samatta wanatakiwa wajue hayo ndiyo Maisha yao Polisi wengi, huyo Baba Samatta angelikuaga Mwanajeshi wa JWTZ angekua tofauti kwanza angekua na eneo kubwa ata kama ni Uswahilini na Nyumba nzuri.
Hii mitazamo ya masikini, wenye hela hawana haja ya kujikwezaMbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam.
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale, Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu, najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi Mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako. Wachezaji wenzako wa Ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana.
Sio kwamba wa Masaki hawafi, ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu. Mbagala ni ‘ushenzini’
Watu wamekuja msibani hakuna parking, hakuna sehemu ya kufunga hema
Kama aligoma kuhama ungehamisha majirani ukaboresha makazi yake hapohapo
Basi angewanunua majirani na kuboresha makaziInawezekan mzee aliona bond aliyotengeneza na majirani zake inampa faraja na anaishi kwa furaha, kwenye maisha kuna watu wala hawahitaji vitu vikubwa sana wanajali amani na furaha na wakiikosa hawawezi kuishi hiyo sehemu hata kama ina hadhi kubwa kiasi gani, jamaa kwa uwezo wake hajashindwa kumuondoa mzee wake hapo ila nafikiri Baba ndo hakutaka mwenyewe.
Je vipi kuhusu makazi ya Baba yake aliboresha au hajayaboresha?
Mkuu unasema Obey ya wapi ni ile ya Makamo wa Raisi na Waziri mkuu au ile ya kituo cha Polisi nyumba za polisi?, Mimi na sema wajenge Masaki na obey na siyo kuisho nyumba za Serikali.Tibaigana akiwa na cheo cha ACP alikuwa anaishi masaki.Alfred Gewe alivyokuwa na cheo cha ACP alikuwa anaishi oysterbay.Mwidadi Ali akiwa ACP alishi obey, kastaafu yupo Temeke uswaziuswazi anauza mikate nyumba ina fremu kwa kuwa na yeye ni mswaziswazi.