Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

hivi wewe una akili kweli eti huwezi kukaa mbagala acha akili za kushikiwa mbagala kuna matajiri wengi kuliko wewe na watu wenye hadhi kuliko wewe. huenda wewe umepanga na unabwabwaja
 
waambie mkuu
 
Mkuu unasema Obey ya wapi ni ile ya Makamo wa Raisi na Waziri mkuu au ile ya kituo cha Polisi nyumba za polisi?, Mimi na sema wajenge Masaki na obey na siyo kuisho nyumba za Serikali.
Nani anajengaga Masaki au Oysterbay au naongea na mporipori aliyeingia mjini juzi umekuta masaki ni maghorofa na ofisi.Wastaafu walioishi masaki wengine ndiyo hao waswahilisawhili wa Mbagala na Chanika,Wale wenye uzunguzungu wapo mbweni,makongo juu na kwingineko.Unakuta mwingine hata huko masaki hakukupenda na aliishi kwa lazima kama mtumishi.
 
wakihama Mbagala watamtambia nani?
 
hivi wewe una akili kweli eti huwezi kukaa mbagala acha akili za kushikiwa mbagala kuna matajiri wengi kuliko wewe na watu wenye hadhi kuliko wewe. huenda wewe umepanga na unabwabwaja
Narudia mtu mwenye akili hawezi kuishi mbagala
 
Waliokimbia masaki kwasababu wamekodisha Nyumba wamezigeuza biashara kwa Balozi mbali mbali, kule Masaki na obey wanaishi kule ni Mabalozi na Mawaziri tena wa awamu ya 4 kurudi nyuma, kwasasa wamehama kwakuhusa au kudisha Nyumba zao. Maana Balozi wa Japani, Germany, Marekani, Canada, Saudi Arabia, Egypt, Norway awa wote hawawezi kununua Nyumba zao za kuishi uko sijui Makongo juu, madale, Mbweni mtu mweupe ana jua sehemu nzuri ya kuishi.
 
Mtu mweupe yuko smart sana kuhusumakazi,
 
Mabalozi wameingiaje hapa.
 
Hapa tuwalaumu watu wa mipango miji, kwa ujumla maeneo mengi Dar es salaam yamejengwa kiholela,

Chukulia mfano itokee ajali ya moto hicho kikosi cha uokozi na kufika eneo husika ni changamoto,
Kingine wazee wetu uwa wanapenda kuishi maisha ya kawaida haijalishi mabadiliko ya kipato kwenye familia,
Ngoja Mzee wetu apumzike kwa amani aliyapenda sana maisha ya ukaribu na majirani zake.
 
Jamani huu uzi uishie hapa kama ni maoni, dukuduku na vinyongo vyenu tumeviona lakini huku mnakoelekea kufananisha masaki na Mbagala rangi tatu sio kweli
 
Nunua majirani bomoa nyumba hizo pata access ya barabara na eneo kubwa,boresha nyumba yako
 
Ukute hata kiwanja huna.
 
Mtoto hawajibiki kwa maisha ya baba yake.
Huo ni uzembe wa Mzee wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…