Mbwana ana nyumba na apartments sidhani kama swala la kumhamisha mzazi wake ilikuwa shida. Ila mzee akigoma huwezi mlazimisha.Vijiji vingi ni vizuri kuliko Mbagala Kwa maana ya kuishi.
Upo sahihi alichotakiwa Samatta ni kumjengea nyumba mshua wake maeneo yenye utulivu sio tu nyumba nzuri huko mbagalaWako well off kiuchumi ila kichwani hawajielewi
Kuzungukwa na masikini ni kero sana
Hata angeishi masaki angekufa ila hapa tunajaribu kumoa mtu hadhi yake
Wazee wanahitaji maeneo tulivu wajifika umri wa utu uzima
Mbagala sio sehemu sahihi
Vijiji gani hivyo bora kushinda mbagala?Vijiji vingi ni vizuri kuliko Mbagala Kwa maana ya kuishi.
wewe mwenyewe unasema anaishi huko baada ya kususwa na wanaumeMbona unadanganya umma, Wema si anaishi huko Mbagala baada ya kususwa na wanaume wa kumuweka mjini?
Vikindu siyo uswahilini kama Mbagala.Achana na maisha ya watu usikute ww unaishi vikindu haswaa
Naunga mkono hojaIla acheni ukweli usemwe.
Hiyo sio nyumba jamani..yale ni makazi.
Kwa maana nyingine kile ni kiwanja.
Kwa reputation ya mchezaji mkubwa kama samatta ni aibuu.
Tena Captain wa Tanzania..
Alitakiwa afanye hivi,
Apige nyundo hayo makazi... ajenge nyumba mpya amrudishe baba yake palepale mtaani.
yaani hata sie watendaji tumemzidi sasa wakati sisi tunaishi kwa mihuri tu...Hapana bwana mbwana.
Siajabu hata huo msikiti aliojenga ni mauwongo tu...anyway Pole yake.
Alikaa Mbagala ipiAlikaa wiki tu akakimbia
Alikuwa anaogopa kunyanduliwa kwa buku buku alizoea wanaume wasiojitambua kumuhonga pesa asizostahili.Alikaa wiki tu akakimbia