MC Pilipili acha kutafuta kiki kupitia Marehemu Seth(Bikira wa kisukuma)

Agweee bulahi nhauleee!!Ulimswanoo
Nilimswanu elo... Nimecheka sana...hiyo lugha ulioitumia INA uasili wa kiswahili..sio ile tunayoitumiaga sisi..but nimejihisi nipo Dom nyumbani aseeeee...sande muwaha barafu
 
Ni binti yake
Nimeshuka kwenye page yake,mpaka mwisho nimekuta tena picha ya katoto keupe akisema ka kwake,ndo maana hata huyu nimeweka ?Halafu marafiki zake walikuwa kina Twisa,Juma Pinto,dah nikajiuliza maswali zaidi ukizingatia na alivyokuwa anajiita.
 
Mpoki atakuwa amefuta
 
Ushamba mzigo

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
mnamchambua marehem mpaka kero alikuwa na mtoto au la inawahusu nini ?
 
Nilimswanu elo... Nimecheka sana...hiyo lugha ulioitumia INA uasili wa kiswahili..sio ile tunayoitumiaga sisi..but nimejihisi nipo Dom nyumbani aseeeee...sande muwaha barafu
Ha ha ha ha nachapia tu bulahi,ulihaii
 
Inaelekea walikua marafiki walioshibana ndio maana jamaa kaumia sana.
Kifo hakina huruma.
RIP Seth.
Ukishibana na rafiki ndo umwage siri zake mtandaoni?

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Siku ya birthday ya miaka 30 ya Mc Pilipili, Seth alimuandikia series ya jumbe Pilipili ,and that was just birthday.

Leo hii yeye anaandika ,some of the words ni zile ambazo pengine alitaman amwambie jamaa wakati akiwa hai bt alishindwa lakini raia mnaponda, taking into consideration kuwa jamaa hatakuja kumuona tena na ni mpendwa wake

Nyakat zinakuja ambazo watu watakuwa wanashindwa kuwa real, kwa kuhofia kusemwa mitandaoni

Nadhan what Pilipili is doing is just being real,
 
seth na mc pilipili wametoka mbali...walifahamiana tangu mc pilipili anatoka ugogoni na kuingia dar..
miaka mingi sana
but kama anamsanifu marehemu kwa post zake msiache kumwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…