MC Pilipili acha kutafuta kiki kupitia Marehemu Seth(Bikira wa kisukuma)

Wengine tunapenda kuona picha za marehemu hata kama siyo ndugu.



Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Izo pic wanapost wapi? Maana sie wengine sio wadau wa fb au insta
Umeongea vzr mkuu kama humu hazimo kwann wanataka tujadili huku kwa mfano tusema mitandao ya kijamii ni nchi

Shida ua raha za Kenya zinabaki huko huko
Sasa Leo mambo ya istar au Fb au sinapita sijui mnaleta huku jf ili iweje


Sijapenda wanachofanya
Pia sijapenda mchofanya

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Nimeingia istagram ya mc pilipili,
nimeridhika kukuta ile picha.
Ili kukubali msiba walau uone mwili wa marehem
hasa ambao hatukuweza kwenda mazikoni.
 
Being real kwa kutangaza mpaka ugonjwa!?
 
Sijaona tatizo lolote la Mc Pili pili kupost picha walizokuwa na marehemu Seth kama rafiki yake wa karibu.Otherwise kama una tatizo na Mc Pili pili.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
MUNGU anisamehe namchukia sana huyu pili pili hoho..cjui alinikosea nini
 
Imebidi niingie kwenye page ya mcpilipili ili nami nihakikishe. Nadhani mwandishi umechukulia tofauti au umetafsiri vibaya. Nilichokiona kwa mcpilipili ni maumivu makali aliyonayo kuondokewa na rafiki yake kipenzi ambae ni kama ndugu. amepost pia comments nyingi za marehemu alizokua anamsifia huyu mc na kuelezea ukaribu. imenionyesha jinsi ambavyo marehemu na mc walikua marafiki. hakuna picha ameweka ya maiti zaidi ya matukio ya msiba, kitu ambacho si kibaya. kumbuka marehemu hakua na ndugu wa kiume, pamoja na urafiki wake na marehemu naona walikua kama ndugu. haya ni mawazo yangu na si lazima uone yako sawa. sioni kosa hapo kwenye page ya mc
 
..hakika kifo kitabakia kuwa ahadi ya pekee ya hakika kwa kila mja aliyepo duniani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…