MC Pilipili acha kutafuta kiki kupitia Marehemu Seth(Bikira wa kisukuma)

Nimeshuka kwenye page yake,mpaka mwisho nimekuta tena picha ya katoto keupe akisema ka kwake,ndo maana hata huyu nimeweka ?Halafu marafiki zake walikuwa kina Twisa,Juma Pinto,dah nikajiuliza maswali zaidi ukizingatia na alivyokuwa anajiita.
Hao twisa na pinto wana nini funguka basi.
Uyo twisa ni yule kevini twisa wa tigo sijui voda?
 
Ushaambiwa mtu MC.

Labda hiyo ndiyobnamna yake ya kuomboleza ki MC.

Kuna mtu alifiwa na mama yake, kesho yake nikamkuta Bar.

Akaniambia ndiyo namna yake ya kuomboleza.

Kuna mwingine mara baadavya mama yake kufariki alipewa likizo kazini aomboleze. Akakataa. Akasema kwenda kazini ndio kutamsaidia ku cope.

As long as mtu hajamvunjia heshima marehemu tatizo liko wapi?

Unajuaje huyo MC na Seth walivyoelewana?

Seth alikuwa mtu wa media, unashangaa nini msiba wake watu wakiuweka kwenye media?

Sent from my Kimulimuli
 
Pilipili hajatangaza ugonjwa wa seth ,naona umechanganya habari

Au you are just hating with no reason
Uko dunia gani wewe aliweka makala you tube nenda kachek pilipili tv
 
Being real au n kiki tuu, unaanzaje kupost kila lisaa while kila mtu anajua kilichotokea, yy ndo anahuzun sana au ndo alikua the closest friend wa seth.ukipost mara mbil tatu watu hawataona kama umehuzunishwa ad upost mara 20., jamaa anazingua tuu ,unatafuta kiki ad kwny misiba.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hujamfollow umeingia tuu na kutoka, so huwez ona tunachozungumzia, bt kiukwel anazingua yaan kila ukiingia insta n post yake tena anaweka pic ya seth na maneno kibao.watu wamepata taarfa, watu wameona watu wamehuzunishwa, kwan post mbil tat hazitosh ad apost kila mda alaf siyo taarfa muhim ni kuelezea tuu jins walivokua na close na seth. Was he the only friend kwa seth.Heb mfollow leo tuu the whole day af utajionea.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani ugonjwa wake ni sawa na wa yule Ibra wa JF. Nimonia ni hatari sana.
 
Kabisa ni wapuuzi hawa. Wanadiriki mpaka kupost sms walizokuwa wakichat na marehemu.
UTU UKO WAPI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…