Kimbele mbele cha ku quote vitu ninavyoandika mwisho iwe leo
kama unahisi huwez kutulia,kaa kimya yani usini zoee kabisa
usije rudia tena kunletea mazoea ya kimandazi,ushawahi kuona nikijitangaza kama nabii?
unanijua mimi? mazoea ya kipumbavu sitaki tena acha kbisa ukiona hii ID kaa nayo mbali
usiniletee tabia za mashoga mimi kufata fata wanaume bila kuitwa,usijipendekeze kwangu
narudia tena kukwambia Usijipendekeze kwangu Tafuta wa kumzoea ila sio mimi,umenisikia wewe?
Nilitaka kukunyamazia ila nimekaa nikaona nikuchane ili kama kuna wengine wataona wenye kuwashwa
kama ulivyowashwa wewe wajue kuwa
CONTROLA hataki mazoea machafu na watu wachafu.
Kaoge utakate,vaa pendeza, Nukia kisha ndio uje u qoute ninachoandika mgonjwa wa akili wewe
Umejiona wewe ni nabiii feki ukafikiri kila mtu nabiii Blal full mazafantaz,wee kitasa acha mazo nimesema acha Mazo.