Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Ni emotional au ni mpumbavu ??
Jamaa yuko very emotional dah
Kaniskitisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yuko very emotional dah
Kaniskitisha sana.
Reciprocity ya namna hiyo kwenye mapenzi ni 1:100The problem is, mke wake na yy anaweza kumlilia kama yeye anavyomlilia?
hao wanawake wapo mkuu TRUST MEWanawake wa namna hiyo wameshakufaga kwenye WW1, zimebaki copy kwenye movie tu hasa za bongo. Kulia mbele za watu hasa mwanaume unaonyesha, you are weak enough kushindwa ku control hisia zako otherwise tuseme yalikuwa maigizo, chochote kinawezekana mbele ya camera.
Kwa umri niliyo ufikia hadi sasa sijawai hata kusimuliwa hizo hadithi za mwanamke wa namna hiyo, labda pande hiyo, ila uku kaskazini, kazi ni kazi, hamna aiseeee.hao wanawake wapo mkuu TRUST ME
Mbona umefuta comment yako ya kwanza[emoji2][emoji2]Mnoo kwanza nilijiskia aibu, mimi sitaki mwanaume wa vile jamani doooh
Emotions zikishika hatamu akili hua mbali. Never say never.
Mbona umefuta comment yako ya kwanza[emoji2][emoji2]
Duuh! Sawa kumbe ni kweli niliona malalamiko kwenye uzi flaniSijafuta mimi, naona Kuna ka mtindo ka kufuta comments humu
Huyu ni fala numba moja Tanzania, kwanza hakuwahi kuwa mwanachama wa chama cha MabahariaHivi mbona JF ni kama hamuoni kinachoendelea kwa MC mwenye chombo yakee.
Hivi ni sahihi Mwanaume kumililia Mwanamke hadharani kama alivyofanya jamaa?
Daah! Kulia hadharani nimeshindwà kukubaliana nayo. Kama kulia, nitajiliza faragha, chumbani hukoo tena baada ya kujiliza inafata show ya haja.
View attachment 1278759
Kiki tu anataka mumuongelee, na kafanikiwa maana wewe ni mmojawao umemuanzishia uzi.
Nasema hiviiiii tena naandika vitu kutoka ndani ya Moyo wangu wala sio unafiki wowote
MC PILIPILI ana haki ya kulia (narudia tena ana haki) acheni nyie haya maisha watu tunapitia mambo mengi sana,watu tumetengwa na wazazi,watu tumetengwa na ndugu,tumetengwa na jamii,tumetengwa na hadi wanyama pori.
inafika wakati mtu unaamua kuingia porini ili uliwe na simba au mnyama yeyote mkali ili tu UFE uliwe upotee katika hii dunia,lakini ajabu unaingia porini unapishana na simba face to face hakugusi,unapishana na Chui face to face hakugusi.
Unalia sana sana unamuuliza Mungu kwanini sasa sifi kama hata hawa wanyama wakali hawanimalizi wananipita kama hawanioni,Mungu kimya,unafuta machozi unarudi uraiani kuendelea na ratiba zako kwa hali ya kutengwa hivyo hivyo.
From nowhere anatokea MWANAMKE anakwambia CONTROLA nakupenda, CONTROLA nimekuchagua wewe pamoja na yote hayo,nipo tayari kuonekana wa ajabu kukusaidia,nipo tayari kuonekana nisiefaa kukusaidia,nipo tayari kufanya lolote na chochote CONTROLA nakupenda from deep inside my heart.
Aseee mimi kama CONTROLA kilio nitakachoangusha hiyo siku hamna wakuweza kuninyamazisha,ntaomba mniache nilie na kweli ntalia,narudia tena ntaliaa😭😭, ntalia sana.Wingi wa machozi yatakayonitoka hiyo siku hakuna mtu yeyote duniani kawahi kulia hivyo.
Acheni MC PILIPILI alie acheni kabisa, nasema acheni jamani maisha haya tunapopita hapaelezeki,maisha haya majaribu tunayopita hayasimuliki,ugumu wake hamna njia nyepesi nitakayoweza wasimulia mkaielewa, halafu anatokea mtu hajulikani hata katokea wapi tena MWANAMKE pamoja na kujua historia yangu halafu anatamka maneno aliyotamka mke wa mc pilipili.
Tena sio tu anayatamka kimoyomoyo ila anayatamka wazi na peupe kwenye media Aseee mc pilipili ni nani asitoe chozi😭😭,ninapoandika huu ujumbe nimevaa uhusika wa mc pilipili kanirudisha nyuma sana (nimedondosha machozi) yes nasema hivi muacheni MC PILIPILI hamna anaemjua kuliko yeye ajijuavyo.
Muacheni Muacheni he is a real Gentleman tena nasema he is one among Few of his Type. Pole pilipili,Pole sana.