MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

Duuh kazi ipo,,halali wanaume watuogope
binti kiziwi Ms R mimi naona moja ya shida kubwa inayowakumba wadada ni kuwa mara nyingi mnatongozwa na wanaume ambao hamuwapendi, unakuta mdada unafatwa na wanaume 10 wenye nia ya kukuoa, lakini kati ya hao 10 unakuta hujampenda mwanaume hata mmoja kati yao, na ukizingatia umri unaenda, mwisho wa siku mdada unaona bora uolewe na mwanaume yeyote ambae kiuchumi Yuko vizuri.
 
Siwezi kuamn ndoa inaaribu mambo Kwa kusikia story za Fulani na Fulani Allah asngetuambia tuoe
 
Sikupingi kabisa mkuu
 
Uko sahihi… Jamii jinsi ilivyomlea mtoto wa kike pia inachangia kwa asilimia nyingi katika hili.

Ati sio lazima mwanamke kupenda, ati mwanamke kazi yake ni kutii , Utamtii mtu humpendi? Biashara ya utumwa (Ndoa za zamani) Ndio zilitengeneza hizi notions.
 
Tatizo mojawapo ni hizo sheria za kugawana mali baada ya talaka ndio zinawapa kiburi.

Nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…