binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Sababu nimewatetea watoto wa mama mkwe?Mkuu leo unamwaga madini tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu nimewatetea watoto wa mama mkwe?Mkuu leo unamwaga madini tu.
Acha basi! Kwenye hela wanawake wote tunafanana na tumefundishwa na bibi yetu bi Eva/Hawa.Jf kungekuwa na namba yako ya simu ningecopy nikurushie muamala.
Kumbe ata ukiwa huna mcheps wanakubwaga hawa kenge😲😲Mke wa Kaka ( Brazilian Footballer) aliachana na mumewe akatoa sababu ya kuachana eti " He was too nice to me"
Alimuoa kabisa au mlikuwa mnaishi tu? Pia ni kabila gani huyo?alibeba kila ki2 ndani,akahamisha duka letu lilikuwa pale banana alaf akaenda kupnga paspojulikana,,,sasa cha ajabu kwa sasa ananitafuta
ndoa ya kanisani mzee!!Alimuoa kabisa au mlikuwa mnaishi tu? Pia ni kabila gani huyo?
Daaah, mbona alijeruhi sana moyo huyo?ndoa ya kanisani mzee!!
binti kiziwi Ms R mimi naona moja ya shida kubwa inayowakumba wadada ni kuwa mara nyingi mnatongozwa na wanaume ambao hamuwapendi, unakuta mdada unafatwa na wanaume 10 wenye nia ya kukuoa, lakini kati ya hao 10 unakuta hujampenda mwanaume hata mmoja kati yao, na ukizingatia umri unaenda, mwisho wa siku mdada unaona bora uolewe na mwanaume yeyote ambae kiuchumi Yuko vizuri.Duuh kazi ipo,,halali wanaume watuogope
Siwezi kuamn ndoa inaaribu mambo Kwa kusikia story za Fulani na Fulani Allah asngetuambia tuoeninayoandika hapa simsingizii mtu bali natoa habari zangu kwenye vyanzo vya uhakika. sasa hivi mc pilipili ana trend baada ya kutangaza kuachana na mwanamke wake na kwenda mbali zaidi kusema ana tamaa huyo mwanamke.
kwa wasiomjua mc pilipili hakukurupuka hadi kufikia hatua ya kuwa msanii maarufu na mkubwa jamaa alipambana na akajipata mwishowe akaamua kuoa huyo mwanamke wake.
mwanamke mzuri na mrembo kweli kweli kila mwanaume rijali lazima angetamani kuwa naye. yes mc pilipili akaamua kumuoa na kufanya sherehe yenye gharama kubwa sana na kufungua hadi kanisa pamoja .
kwenye akili za mc pilipili aliamini huyo ni mwanamke wake wa maisha mpka ikafikia hatua akatangaza kutamani kutoa tena mahali kwa mara ya pili yote kutokana na kuonesha kiasi gani anampenda huyo mwanamke.
mc pilipili katumia pesa nyingi sana kwenye matanuzi na huyo mke wake lakini hadi sasa wameachana mc pilipili kafunga hadi kanisa hapo unapata picha kiasi gani mc pilipili kayumba kiuchumi.
hapo sijamgusia stamina na mke wake hadi kuamua kumtolea nyimbo, bado sijamgusia mke wa masanja na katibu wake wa kanisa ambaye hadi sasa katibu hayupo tena kanisani (tetesi).
wapo matajiri wakubwa kma elon musk na bill gate walikutana na mambo hya kutoka kwa wanawake zao. bado sijamzungumzia kanye west na ugumu wake alikiri kumpa kila kitu kim lakini mwisho wa siku kim aliomba talaka.
ukisoma hapo juu utaelewa kuwa haya mambo yapo na yanatokea na sio kama yanahusiana moja kwa moja na mahusiano yangu binafsi hapana bali ni mahusiano yote kwa ujumla.
mwanamke mwenyewe hajui anataka nini muda mwengine mwanamke namfananisha kma mtoto ambaye anaomba umnunulie mdori unamnunulia kesho akienda kwa mtoto mwenzie akiona kuna mdori ambao hana yeye lazima atakulazimisha umnunulie huyo mdori.
kwa kifupi hawajui wnachokitaka wanaendeshwa na hisia zao zaidi za wakati huo ndo maan mke wa mabeste akuona shida kumuacha mabeste licha ya mabeste kumhangaikia akiwa mgonjwa.
mwanamke hajali umekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda gani mna watoto wangapi anachojali yeye ni hisia zake kwa wakati huo. kw kifupi wanawake wengi ni wabinafsi ndo maana ukikuta mwanamke anampa pesa mwanaume jua ni mtego tu muda wowote atakukumbusha kuhusu hiyo pesa.
mwisho, mwanaume ana mengi ya kupoteza kwenye mahusiano na hata ndoa kuliko mwanamke. usiniulize kwanini diamond licha ya kutembea na wanawake kibao warembo kwanini haoi, usiniulize kwanini CR 7 haoi licha ya utajiri walionao, wote wanajua kuwa kwenye ndoa wana mengi ya kupoteza kuliko wanawake zao na usishangae kwanini wako karibu sana na mama zao.
Follow Daniel Lokamacheki
ndo ivo mzee!!!!"kataa ndoa"Daaah, mbona alijeruhi sana moyo huyo?
Sikupingi kabisa mkuubinti kiziwi Ms R mimi naona moja ya shida kubwa inayowakumba wadada ni kuwa mara nyingi mnatongozwa na wanaume ambao hamuwapendi, unakuta mdada unafatwa na wanaume 10 wenye nia ya kukuoa, lakini kati ya hao 10 unakuta hujampenda mwanaume hata mmoja kati yao, na ukizingatia umri unaenda, mwisho wa siku mdada unaona bora uolewe na mwanaume yeyote ambae kiuchumi Yuko vizuri.
ubinafsi huu sasa,, location sio kitu ya kuficha mtuHili nalo neno...haya njoo uchukue 1 mil hapa mrembo
Uko sahihi… Jamii jinsi ilivyomlea mtoto wa kike pia inachangia kwa asilimia nyingi katika hili.binti kiziwi Ms R mimi naona moja ya shida kubwa inayowakumba wadada ni kuwa mara nyingi mnatongozwa na wanaume ambao hamuwapendi, unakuta mdada unafatwa na wanaume 10 wenye nia ya kukuoa, lakini kati ya hao 10 unakuta hujampenda mwanaume hata mmoja kati yao, na ukizingatia umri unaenda, mwisho wa siku mdada unaona bora uolewe na mwanaume yeyote ambae kiuchumi Yuko vizuri.
Njoo hapa forest, karibu na forest hill secondary schoolubinafsi huu sasa,, location sio kitu ya kuficha mtu
shwaaaaaa nkaazime kigaun kwa shoga anguNjoo hapa forest, karibu na forest hill secondary school
Una,imaje gauni ebu wacha u hoyo tuma namba nikutu.ie hela ya kununua crop top na biker shortsshwaaaaaa nkaazime kigaun kwa shoga angu
wacha nkutumie lipa nambaUna,imaje gauni ebu wacha u hoyo tuma namba nikutu.ie hela ya kununua crop top na biker shorts
Tatizo mojawapo ni hizo sheria za kugawana mali baada ya talaka ndio zinawapa kiburi.
Nimecheka sanamaradhi mengi bro,alaf,kuna mshikaji jirani yangu ana mke na mchepuko jirani sasa mcchepuko kapat mimba,,,baada ya mtoto kuzaliwa amezaliwa akiwa na kichwa kama ncha ya bamia,wakati jamaa ana kichwa cha mpemba,,,so,,,hamna sehem salama...andazi moto,chai moto,kikombe cha bati!!!
Hamna pisi hapo.Ngoja niwaongezee picha kutoka maktabaView attachment 3201506
ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!Nimecheka sana