MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

Si ndioo! πŸ˜‚ Na wawapige matukio.

Mtu kama pilipili kumpenda mtu tena labda afikishe 46+ ile phase wanaume hupata their third love. Baada ya kuwa disappointed na Wa utotoni, wa ujanani na wa utu uzimani.
apo sasa atakua anatafuta kifo cha mapema,aachane na mapenz kabisa labda kama ataweza kuvaa moyo wa kishujaa kama masanja πŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚
 
Tusitumie neno hakuna, maana binadamu wanatofautiana. Tukisema hivyo tunamaanisha mimi na wewe hatujawahi kuona watu wa umri huo wakioa….

Anyways comment yangu haikuhusu kuoa, ilikuwa kupenda.. fanya rejea.
 
Tusitumie neno hakuna, maana binadamu wanatofautiana. Tukisema hivyo tunamaanisha mimi na wewe hatujawahi kuona watu wa umri huo wakioa….

Anyways comment yangu haikuhusu kuoa, ilikuwa kupenda.. fanya rejea.
Narudia hakuna
 
"mwanamke mwenyewe hajui anataka nini muda mwengine mwanamke namfananisha kma mtoto ambaye anaomba umnunulie mdori unamnunulia kesho akienda kwa mtoto mwenzie akiona kuna mdori ambao hana yeye lazima atakulazimisha umnunulie huyo mdori"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimesikia kuna mbunge mmoja hivi ndio chanzo cha ndoa ya mc pilipili kupinduka, source ya huu ubuyu ni shoga ake shem wetu wa zamani lakini ushoga wao ni πŸ”₯ kwa sasa

Mimi nitaoa kama Cristiano Ronaldo ataoa
 
Kama huna akili usioe....nakutaadharisha
Ndoa ni kwa wanaume wenye akili tu na sio kwa kila mwanaume
 
Kama huna akili usioe....nakutaadharisha
Ndoa ni kwa wanaume wenye akili tu na sio kwa kila mwanaume
Mwanamke haolewi na mwanaume mwenye akili, mabillionaire wote wameachana na wanawake sababu wana akili wanawake hawataki kuishi na wanaume wenye akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…