MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

Usikute mwamba alikuwa hapeleki moto vzr [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] waongeaji siku zote hua ni maloofer
Kuna wazee wenye mipunga wana vitambi kimoja chali,anampindua kijana unaye msifia kupeleka moto.Siku hizi hayana formula, hata usimamie kucha unaweza kipinduliwa mwenye hela ambaye kitandani sio mzuri.
 
Dada we acha tu! Kuna sababu nyingi sana zinawafanya wanawake waolewe hiyo ni moja wapo.

Sema ni tabia mbaya sana, Mtu akikupenda akaamua kukuoa anakuwa invested sana, hatakiwi kuwa disappointed kirahisi rahisi.
Kumbe kuna wanawake mna mioyo mizuri hivi na akili mingi.
Aloooh! Hongera
 
Usikute mwamba alikuwa hapeleki moto vzr [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] waongeaji siku zote hua ni maloofer
Tusiojua kugegeda kwa kweli kazi tunayo...watatugegedea wake zetu mpka basi
 
Da!!! braza mimi mwenyewe tangu mwaka 2021 niko singo,,,nilipigwa 2kio la ajabu kama yule bondia aliyekufa zanzibar!! kwa kifupi pamoja na kuishi na mke wangu kwa miaka ishiri na kuzaa watoto wanne kkujenga nyumba kadhaa,,,lakini alinipiga 2kio lilinigeuza kuwa mlevi mpaka leo hii,,,kazini wamaenistkia hawanipi kazi za ku2mia akili nyingi kwa wananiona mtambo!!!,,,,da!!!! NAWAOGOPA SANA!!
Mzeya hukuwa ata na michepuko miwili ya kufall back on to?
Wanaume wanaume ata kama umeoa usiwe na ujinga wakutokuwa na micheps anagalu miwili.
 
Uzi umekuja muda muafaka

Iko hivi takribani kama wiki mbili tatu hivi nilikaa tu juu ya mawe home ,hapa jirani yangu kuna jamaa wa boda boda na jirani tena kuna jamaa ni fundi fundi tu mitaani,
Kumbe yule boda akiondoka alfajiri tu mke huyoo anahamia kwa fundi nyumba jirani,

Mwanzo nilijua labda wana shida zao tu za kawaida ila hali iliendelea mara kwa mara tena nikaanza kumuona yule dada anabeba mpaka chakula toka ndani kwake anapeleka kwa fundi😪😪

Kufupisha stori yule mke wa mtu kwa sasa ndio kazidisha hata saa kumi na mbili anaipeleka ,

Nimeangalia ile picha na kutafakari mengi sanaaaaaa,

Wanawake sio poa jamaa anapigwa na mabaridi huko wengine mpaka wanalala juu ya piki piki na tunawaona ili familia ipate mahitaji muhimu ,kumbe mwenzako huku anabeba chakula ulichotafuta kwa tabu anapeleka kwa jirani ,
Inaumiza kiasi gani
 
Ah kwa kuwa mie ni boda boda pia nasema sie maboda boda wacha watuchapie wake zetu maana sie huku kwenye mishe zetu tunagegeda sana wake z watu mpaka tunahongwa na hao wake za watu. So malipo here here in this world
 
Kuna wazee wenye mipunga wana vitambi kimoja chali,anampindua kijana unaye msifia kupeleka moto.Siku hizi hayana formula, hata usimamie kucha unaweza kipinduliwa mwenye hela ambaye kitandani sio mzuri.
Muhimu jamani wee mwanume umekojowaaa, mwanamke lolote limkute hatujali
 
Jamaa kafunga kanisa, wachungaji wenzie hawamsapoti, comedy hawezi, mc kwenye harusi ana suasua.. Uyu angebaki kua mwalimu tu
Aisee! Tukiwaambia kuwa wanawake ni mashetani wenye mbususu tamu wanabisha.
Wee kweli na akili yako utaishi na shetani jamani
 
Back
Top Bottom