Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Babu kumbe nawewe unahi Babu kumbe na we we unaifahamu nyeto?
 
Babu kumbe na we we unaifahamu nyeto?
Hahaha........nafahamu Mkuu, nilipokuwa kwenye Rika la barehe nimewahi kujichukulia Sheria Mkononi pia 😜

Study inaonesha, asilimia 85 ya Wanaume wote Duniani wamewahi kujichua ama wamewahi kujaribu kujichua japo mara moja kwenye maisha yao

Ni njia rahisi na salama kuweza kulinda Afya yako na Wallet yako Kwa mujibu wa dronedrake πŸ˜…
 
Poa mzee wetu, tupo pamoja ile project yako ili ni impress sana, nami napambana mahali nikifuata nyayo zako.
 
Sijawahi fuatilia maisha yake, ika kwa juu juu kosa alilifanya, ni kumuonesha mkewe anampenda saana, yani kifupi jamaa alikuwa hajiwezi kwa mkewe ni yeye ndio alikuwa anatumia nguvu nyingi kwenye penzi.

Mwanaume unapaswa kuwa jitu la mtumba hueleweki, yaani siku ukiamua bembeleza, unabembeleza na kupet pet mpaka anakuona bushoke, siku ukiamua uso wa mbuzi, inakuwa mbuzi kweli mpaka anajiuliza ndio huyu huyu anaenipet pet mimi. Ishi kwenye misimamo.

Wote wanaoishi hivi na wake zao lazima liwakute jambo, mwanamke hatakiwi kujua hisia zako 100 kwa 100 abaki anahisi hisi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…