Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Maji maramoja yule Filomena, chuo alikua anaishi na Godfrey kama mume na mke, kwahio Kwa mc pilipili ilikua ndoa ya pili.

Kipindi anaolewa tulimcheka Sana Godfrey, na kiukwel walikua wnapendana. Ingawa Kwa Sasa Jamaa yupo SGR, kama Site Engineer.

MC pilipili heri amemrudishia mshikaji manzi wake.
Alisoma chuo kipi
 
Hawa matajiri wana uchafu mwingi nyuma ya pazia
Wanawapamba buree kumbe ndo mifirauni
Madame ritaa ni mchafuu,alikuwa anatumia k yake kuishi mjini kistaa,ndomana baada ya kubwagwa na mzee machache hajawahi kushine kama enzi hizo tena

Na mzee machache alilipwa,kuwa na hela zote zilee afu kuletwa kama cargo nchini kwako na malayah kuanza kugombea urithi wa kizazi chako ni bonge ya demotion
Mungu hapokei rushwa🙏
Alafu kuna mda utamsikia madam rita anakuambia ni mpambanaji hayo ndo maajabu ya dunia
 
Baba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke.

Amesema kwa sasa yupo na Pacome.

Tumuombee arudiane na mkewe. View attachment 2926310
Tatizo hujitokeza pale mwanaume mzima unavisha pete huku ukisujudu as if she is going to be a head in the family those are the outcome bear with them nig*
 

Attachments

  • Screenshot_20240311-104758.png
    Screenshot_20240311-104758.png
    435.6 KB · Views: 20
Back
Top Bottom