Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Asitushauri sisi, kwake ndio liwe funzo, sisi hatuolei akili za nyege, hatuoi kisa mzuri sana, hatuoi kwa kuangalia matako, hivyo ni sifa za nyongeza, tunaoa mwanamke mwenye hadhi ya kuitwa MKE.
Oya kaveli mwanangu makalio ni muhimu sana kwenye ndoa yangu 😅bora demu akwose sura Ila kalio aje nalo
 
Makosa yalikua kama 5 au 6

Utamadunii wa kupiga goti,
Michozi ya kike live live🤣
kushindwa kujikaza,
mpka mwanamke akamuinua, kisha Akambembeleza kifuani.
Akalia kwa kwikwi.
Hivi Hii ni serious mkuu🤔
 
Expert bimkubwa umempata,usidharau huo ushauri
 
Vunjabei anakwambia nguvu pekee zinazodumu na demu ni nguvu za kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…