Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya kaveli mwanangu makalio ni muhimu sana kwenye ndoa yangu 😅bora demu akwose sura Ila kalio aje naloAsitushauri sisi, kwake ndio liwe funzo, sisi hatuolei akili za nyege, hatuoi kisa mzuri sana, hatuoi kwa kuangalia matako, hivyo ni sifa za nyongeza, tunaoa mwanamke mwenye hadhi ya kuitwa MKE.
Oya hujakutana na demu anayevaa kibikini oha😅matako saba mzaziWanaume wengi 90% hawajui kutofautisha mwanamke wa kuoa na mwanamke wa kulipua. Shida ipo hapo kwenye mstari mwembamba.
Hivi Hii ni serious mkuu🤔Makosa yalikua kama 5 au 6
Utamadunii wa kupiga goti,
Michozi ya kike live live🤣
kushindwa kujikaza,
mpka mwanamke akamuinua, kisha Akambembeleza kifuani.
Akalia kwa kwikwi.
Expert bimkubwa umempata,usidharau huo ushauriNakumbuka mama yangu alinambia ukishaoa usimwonyeshe mwanamke kuwa pesa zako ndo nguvu........ Kuna siku ata nguvu ya kubwa ya pesa kutoka mahala pengine na utakosa mke......
Ishi katika uanaume wako, usimnyanyase binti wa watu, mtunze , mvishe, mlishe, muwekee limits kwa kila anachokitaka.....
Akasisitiza kuwa kiuhalisia hakuna mwanamke anayetaka kuwa na mtu asiye na kitu, so work hard Ila
Usioe makalio, sjui hips sura utalia...... Nawasilisha
Vunjabei anakwambia nguvu pekee zinazodumu na demu ni nguvu za kiumeNakumbuka mama yangu alinambia ukishaoa usimwonyeshe mwanamke kuwa pesa zako ndo nguvu........ Kuna siku ata nguvu ya kubwa ya pesa kutoka mahala pengine na utakosa mke......
Ishi katika uanaume wako, usimnyanyase binti wa watu, mtunze , mvishe, mlishe, muwekee limits kwa kila anachokitaka.....
Akasisitiza kuwa kiuhalisia hakuna mwanamke anayetaka kuwa na mtu asiye na kitu, so work hard Ila
Usioe makalio, sjui hips sura utalia...... Nawasilisha
Bahati mbaya,kwa mujibu wa injili ya ghetto,wenye matako makubwa akili hawanaAsitushauri sisi, kwake ndio liwe funzo, sisi hatuolei akili za nyege, hatuoi kisa mzuri sana, hatuoi kwa kuangalia matako, hivyo ni sifa za nyongeza, tunaoa mwanamke mwenye hadhi ya kuitwa MKE.
Asante mkuu,,.Expert bimkubwa umempata,usidharau huo ushauri
Hhhhhhh aseehVunjabei anakwambia nguvu pekee zinazodumu na demu ni nguvu za kiume
Naheshimu uchaguzi wako mwanangu, 🤣Oya kaveli mwanangu makalio ni muhimu sana kwenye ndoa yangu 😅bora demu akwose sura Ila kalio aje nalo
90%Bahati mbaya,kwa mujibu wa injili ya ghetto,wenye matako makubwa akili hawana
Safar bado kidogo expert ,ila nahisi kama kipindi hiki safar itakuwa nzur,muda utaongeaAsante mkuu,,.
Vip wewe huko hujapata pisi kali ya kurudia mjini
Hamna pisi hapa
Demu anaenda toilet na ndege privateHamna pisi hapa
Wakaida saaaaana.
Aseeh ikawe kherySafar bado kidogo expert ,ila nahisi kama kipindi hiki safar itakuwa nzur,muda utaongea
IiMc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa kuepuka kuoa wanawake wenye tamaa ya mali na maisha ya gharama!
View attachment 3196832
Hamna kitu hapo.Demu anaenda toilet na ndege private