Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Kipindi cha nyuma kila anachofanya na huyo mwanamke anapandisha mtandaoni, mambo ya familia inabidi iwe faragha siyo una publish kila kitu binadam wamejaa hasad ukiweka kila hatua ya maisha yako mtandaoni jumuiya ione unaaalika maadui wengi na unaonyesha wapi washambulie.

Kwa sasa ataishi kwa msongo wa mawazo sana maana watu wanamchora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…