Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa kuepuka kuoa wanawake wenye tamaa ya mali na maisha ya gharama!

View attachment 3196832
Akitaka asioe kabisa hakuna mwanamke asiye na tamaa ya maisha mazuri.
 
Color Ile anajua kuji branda. Ila hana uzuri wowote wa kawaida sana . Sema mapenzi ni moyoo .. unakuta moyo umeenda na maji
Kabisa watu waoe size zao na toka mwanzo ujiwekee misingi na uisimamie ukiwa ke/me hakuna mtu asie na tamaa watu wasijidanganye tofauti yake kwamba kuna wanaotamani huku wamebung'aa na kuna waotamani huku wakisaidiana kutafuta ili kukidhi hizo tamaa zao.
 
Duh! Sasa jamani mbona mnawafanya hivyo waotto wa wenzenu. Sio tabia nzuri mjue
Hahaha,
Tatizo ni wao maana hawafugiki, ni kama kunguru.
Ukiwa na huruma ili uwe kama MC Pilipili ni wewe tu.
Utaishia kutunzia Mabaharia kwa muda, labda watakushukuru baadaye
 
Kila binadamu ana tamaa ya maisha mazuri.
Yeye achukue wa level yake basi. Maisha very very simple. Asioe sie wakina mzabzab tunapiga nyeto ya mlenda vuguvugu, sio kwa kupenda ni kwamba hiyo ndio level yetu
Kuna neno umelitumia huko nyuma, "Oa mwanamke unayemmudu." Huu ushauri unatosha sana hakuna haja ya kuoa wake za watu
 
Mc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa kuepuka kuoa wanawake wenye tamaa ya mali na maisha ya gharama!

View attachment 3196832
Inatakiwa ampate kwanza yeye ndio ashauri wengine.
 
Huenda alikuwa anapewa kwa ratiba 😅😅😅 hujawai ona mtu yupo kwenye ndoa kala mzigo mala nne kwa mwaka.. anapewa Kila baada ya miezi mitatu
Eeh yaani namlisha nam alisha alafu anipe kwa ratiba....aloo!
Wala hamna shida naenda tafuta demu mwengine naenjoy yeye ataona tuu huduma ndani zinapungua. Akiuliza namwambia budget imehamia kwa mcheps.

Sasa ndio maana tunashauri mwanaume yoyote yule usijidai unajua kuoenda kizungu eti demu mmoja...ujinga huo. Mwanaume unatakiwa uwe na wanawake 3.
 
Wapi huko alikuwa ananizungumzia? Jamani kumbe hadi uwoya anakibali point zangu? Ebu nipeni namba yake nimpe loft na bodaboda yangu
😅😅 Unakubarika sana mwanawaneee..alikuwa anawenzake. ' akasema mie kwa JF labda mzabzab, anaoneka yuko very Gentle na masifa kibao ya kike kwa mwanaume alie muelewa ' .. namba yake nita ku PM
 
😅😅 Unakubarika sana mwanawaneee..alikuwa anawenzake. ' akasema mie kwa JF labda mzabzab, anaoneka yuko very Gentle na masifa kibao ya kike kwa mwanaume alie muelewa ' .. namba yake nita ku PM
Ah safi sana ndio uzuri wa hii dunia, huwezi kosa supporters . Hapa wakina Demi Joannah Labella Pridah wananiona sii lolote sii chochote kumbe uwoya ananikubali.
Huyo nampa ofa ya bodaboda lifft bure kila leo
 
Eeh yaani namlisha nam alisha alafu anipe kwa ratiba....aloo!
Wala hamna shida naenda tafuta demu mwengine naenjoy yeye ataona tuu huduma ndani zinapungua. Akiuliza namwambia budget imehamia kwa mcheps.

Sasa ndio maana tunashauri mwanaume yoyote yule usijidai unajua kuoenda kizungu eti demu mmoja...ujinga huo. Mwanaume unatakiwa uwe na wanawake 3.

😅😅 Mwanamke chukua ulie mzidi Kila kitu, hatokusumbua.. ikiwezekana hata uzuri uwe ume mzidi.. kama level ya elimu wewe ukiwa na degree yeye awe la nne fail.. huyo mbona utamuendesha utakavyoo.. hata ukimdanga kuwa aki cheats utajua .. ataogopa .. ila sio mwanamke yeye level za juu kuliko me.. mbona baraa
 
Back
Top Bottom