Nyie kula kulala wa ccm bado mmekalia porojo na siasa za kipymbavu. Kuna funzo kubwa sana kwenye hichi kifo. Maana madaraka yamewalevya mpaka mnaona hamtakufa. It insane ccm wanavyo act na kuongea.MUNGU yupi mnaye mzungumzia? kama ni huyu wa UTATU MTAKATIFU (Baba, Mwana na Roho mtakatifu) NO NO NO.......MUNGU wetu hayupo kutoa roho za watu ili ziangamie. Hiyo ni kazi ya ibilisi shetani.
Bado Nape. Mpaka wamjue Mungu ni Nani.Mungu hapendi mzaha kwani yeye ndiye humpa mja wake afya na maradhi kwa hiyo basi kifo chake ni fundisho kwa wengine km akina Mwigulu et el.
Basi naanza kumwogopa Mungu wa Lowassa, anaelipa visasi badala ya kusamehe.
sheria ya uchaguz inasemaje uchaguz utafanyika au kuhairishwa nisaidieni watalaam
wewe noma kweli ,,,,,,,, nimeipendaHakulipa kisasi bali ameitwa kwa mahojiano: Swali la kwanza atakaloulizwa ni "wewe si mchungaji? kwa nini ukafanya kazi ya kulaani badala ya kuombea roho za watu zibadilike kunifuata mimi? La pili, je unajua Mimi ni I AM? Ninatoa na ninachukua na pia ninaponya? Aliyekupa mamlaka ya kuwanyanyasa watu wangu ni nani? Jamaa ana hali ngumu kweli kweli!
Mnakumbuka mtoto wa marehrmu sheikh Yahya Hussein kuhusu uchaguzi mwaka huu kuwa kuna mgombea urais atafariki? Yametimia
Wakuu,
Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo.
=====
UPDATE:
JamiiForums imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jafari Mohamed, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema amefariki saa 12 kasorobo asubuhi katika kijiji cha Msolwa, Chalinze.
Amesema gari lililokuwa limempakia lilikuwa linatokea Morogoro na kwamba walikuwa watu wanne ambapo wengine watatu wamejeruhiwa vibaya.
Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Tumbi.
Sasa naanza pata picha ya kauli ya Mengi "mafisadi wanatengeneza vifo vya watu kupitia ajali'. Hata hivyo kila nafsi itaonja mauti.
Mnakumbuka mtoto wa marehrmu sheikh Yahya Hussein kuhusu uchaguzi mwaka huu kuwa kuna mgombea urais atafariki? Yametimia