TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Duh. Kuna nini ? Mkangara alisema Lowasa ni mgonjwa Akafa yeye,Mtikila alisema Lowasa ni mgonjwa Amekufa yeye, bado wengine kama 3 wanaomsakama lowasa kwa ugonjwa na ni bahati Mtikila aliondolewa kwenye kinyang,anyilo cha Urais muda huu uchaguzi ungehairishwa hadi January 2016
 
Mungu mkubwa,hadhihakiwi akakaa kimya.
Wenye kuona na waone utukufu wake.

Kwani kweli?
Kama kweli mtoto wa shehe Yahya alitabiri kufa kwa mgombea wa uraisi
Ila alisema jukwaani.
Ndio maana akina ridh wamekazania sana wakijua atakua Lowassa.
 
kweli hakuna aijuaye kesho R.I.P Mtikila
 
Unanyoosha kidole kwa mwenzako huku vinne vya kuangalia rest in peace mtikila
 

Acheni kudhihaki watu wengine kwa afya zao. Hujafa hujaumbika.
 
Kama ni kweli Mtikila amekufa, basi Nape naye ajiandae. Hiki si kitu cha kawaida. Wa tatu huyu sasa anakufa kutokana na kuidhiaki afya ya Lowassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…