TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Salam kwa wanaobeza ukombozi wa Watanzania, bado wapo wengi Mungu atawaua tu. .....last week..alisema aliwatukana sana Ukawa let him go....
 
kweli kabisa. kuna watu hata ukiwapinga tu utasikia umepata ajali. mkuu umenikumbusha ajali ya chacha wangwe na salome mbatia. mwakyembe nae alikuwa anakwenda. baada ya ajali kushindwa ilifuata sumu. akina mwandosya wakaponea chupchup. akina zito wanaelewa vizuri sana.
halafu watu hao hao tunasema wanafaa kuwa viongoz wa nchi na kuleta mabadiliko. maajabu ya karne haya.
free masson wana nafas yao apa
rip mch mtikila.
Hii ni akili ya maiti,bila kuwa mfuasi wa ccm no way unaweza ukawa na akili ya namna hii
 
Lowassa anaweza kuua wapinzani wake wote, huyu mtu ni hatari sana.
 
Si alimtukana mhe. Lowasa ndo malipo hayo na afe tu.
 
nasikia alikuwa anawahi kipindi cha tuongee asubui cha star tv na lengo lilikuwa ni kumtukana lowasa
 
Mungu amlaze pema baba mchungaji, pamoja na yote kifo ni sehem ya maisha ya mwanadamu hakuna hata mmoja atakaekwepa hii njia hata kristo mwana wa mungu alikufa sembuse mwanadamu alie asili ya uovu? Kama mtu alikua anawaza na kunena tofauti na unavyotaka wewe ndio kupelekee ufurahie kifo chake? Wapendwa haya mabadilko yanayohitajika ndugu zangu yasijepelekea kukuingizeni jehanamu jamani!
Mbona vijana wa ccm wagunu sana kuelewa tatizo si tofauti za kisiasa. Unaweza kusema lowasa mwizi fisadi hatumtaki au hana sera nk. Ila kusema lowasa ni maiti inayotembea ataenda kuifika ikulu. Hiyo ni insanity na ujinga na kumpangia mungu.
 
Hivi Mtikila alikuwa mgombea au umekurupuka? Sidhani hata kama alirudisha form tume
 
Mtikila hakuwa mgombea uraisi, hakukidhi vigezo hivyo kuenguliwa na Tume
 
kwa khali hii ......wale naojipanga kuiba kura za Edward Lowassa,,,,,mmmmmmmmmmmmmmmmm,,,,,sipati picha.
 
Hayo ndiyo mafundisho ya dini mpya. Ikiwa watu wanafanya kufuru mbaya mbele za Mungu na kuvunja amri lakini Mungu hawauwi, ila wakimtusi lowasa eti, Mungu huyo huyo ana act immediately..! Anyway, tulishaambiwa tutawatambua kwa matendo yao.

Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Mungu husikia kilio cha wengi. Pia Mungu wetu haambiwi la kufanya kwani kama mbingu zilivyo mbali na dunia ndivyo mawazo ya Mungu ni tofauti na ya mwanadamu. Hivyo reasoning yako ni yako na sio ya Mungu. Anaweza akafanya leo kwako na akafanya kwa mwingine miaka kumi ijayo ingawaje wote ni watenda dhambi. Hivyo piga magoti kwani hujui lini atakushukia na wewe!
 
mungu hachezewi na kukashifiwa huwa tunaaminini waathirika watakufa mapema kumbe hakuna fomula ya kifo \
 
Back
Top Bottom