Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 587
- 276
Lowasa atakuwa mchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gamba katika kitete chake...
ndiyo kafariki kwa ajari,nimesikia sasa hivi radio uhuru 95.7 fm dar
n
Wakuu,
Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo.
=====
UPDATE:
JamiiForums imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jafari Mohamed, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema amefariki saa 12 kasorobo asubuhi katika kijiji cha Msolwa, Chalinze.
Amesema gari lililokuwa limempakia lilikuwa linatokea Morogoro na kwamba walikuwa watu wanne ambapo wengine watatu wamejeruhiwa vibaya.
Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Tumbi.
Hakulipa kisasi bali ameitwa kwa mahojiano: Swali la kwanza atakaloulizwa ni "wewe si mchungaji? kwa nini ukafanya kazi ya kulaani badala ya kuombea roho za watu zibadilike kunifuata mimi? La pili, je unajua Mimi ni I AM? Ninatoa na ninachukua na pia ninaponya? Aliyekupa mamlaka ya kuwanyanyasa watu wangu ni nani? Jamaa ana hali ngumu kweli kweli!Basi naanza kumwogopa Mungu wa Lowassa, anaelipa visasi badala ya kusamehe.
Kwa hiyo kumbe Lowasa siyo mgonjwa? Kwa hiyo wewe unataka tumpeleke ikulu ili akapate nafuu ya kujitibia kwa fedha zetu na mfululizo wa ruhusa za mapumziko ya ugonjwa? Hivi unajua kuwa ikulu kulala ni bahati na kazi ni nyingi kuliko muda? Kama Mtikila atakuwa amekufa ujue hajafa na hoja hii. Swali liko pale pale. Ikulu siyo chaka la wagonjwa. Bora aende mtu mzima ugonjwa uanzie akiwa tayari ikulu na siyo aende nao eti tunamsindikiza sisi watanzania.
Watu wa lowasa wanatutoa njea ya hoja. Hoja ni kwamba afya ya lowasa hatoweza kumudu majukumu urais ipasavyo haijalishi kuna wazima wanakufa kabla ya lowasa. Ebo!
Hii ndo gari alokuemo Mch. Mtikila